hali hii sasa ni mbaya chonde tuone huruma............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hali hii sasa ni mbaya chonde tuone huruma...............

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gfsonwin, Oct 14, 2012.

 1. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi leo naomba nia post hili hapa kwenye general forum ila nimeumia sana nafsini na siriaz najiuliza nini hatima ya hii nchi ama ya tunakoelekea? naomba ni nunukuu huu ujumbe kisha wewe utoe mchango wako.
  nanukuu....

  "Wachina si WAPUMBAVU kutengeneza vitu FAKE kulingana na fedha uliyonayo, na sisi WAALIMU tujitahd kuboresha bidhaa zetu(WANAFUNZI) katika kiwango cha FAKE zaid kulingana na malipo serikali inayotoa ya nini kutengeneza wanafunzi ORIGINAL ili hali serikali haina uwezo wa kugharamia vitu original? TOA ELIMU KULINGANA NA UWEZO WA MTEJA. we unasemaje? fanya hivyo mwaya. Tuma kwa walimuwengi tu"

  ujumbe huu nimeupata kupitia simu yangu ya mkononi usiku huu.........tunaelekea wapi?
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Tunaelekea fakeland, kwa usafiri fake, barabara fake na tukifika tunakuta nyumba fake, wenyeji fake, msosi fake, ukarimu fake, Maji fake, kitanda fake na hata usingizi fake!
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Dawa(ARV's) fake,viongozi fake ,basi tabu tupu!!!
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  my dearest it pains? am wondering what pple do think in this life........... just imagine we have kids and they need to get education and not all of us will afford expenses of private schools.

  what will be the implication of such a message??? duh! this is too much.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  hao walioingiza ARV's fake wao walipata waalim wenye moyo na wakaperfom hivi je hawa amabo wanakusudiwa kutengenezwa fake unafkir wata perform vipi?
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hata wanawake fake, wanavaa makabrasha feki, sauti feki,, etc.
   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hili jambo hili lilitakiwa litafutiwe ufumbuzi haraka sana!!
  Hili ni JANGA LA TAIFA na kusema kweli bora magonjwa mengine kuliko hili la Ufake wa Elimu tunaoendeleza kuupalilia! Mwalimu anapodecide kwa moyo wake wote kumfundisha mtoto uongo,hakuna kitu mzazi unaweza kufanya kumbadilisha huyo mtoto!!
  Chonde Chonde nyie viongozi mlio na dhamana ya Elimu kwa wananchi,Hima chukueni hatua!!It's just one button to press,i.e to pay them well!!
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,598
  Trophy Points: 280
  Rais fake, baraza la mawaziri fake, Wabunge fake, hao wanaotajwatajwa kugombea toka chama cha mapinduzi fake wote ni fake yoyote kati yao akiingia Ikulu atakuwa ni Rais fake kama huyu fake mwingine aliyekuwepo madarakani.
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  mkuu Marejesho unachokisema kina mantiki sana aijui kama kuna viongozi wanaoona haya mambo ama ambao wanataarifa na haya mambo.

  istoshe sisi waalim hata kama hatulipwii jamani tusiwakomoe wanafunzi, hizi sms kweli zinaamsha hisisa mbaya sana miongoni mwetu na itafikia wakati tutakosa kabisa waalim wenye moyo wa kufundisha. impact si ka watoto wa tz tu bali hata kwa mtoto wako wewe mwenyewe mwl manake pengine hutoweza kusmesha mwanao mashule ya gharama. lets have empathy to them.
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  so tuendelee kufundisha wanafunzi ili wawe fake?
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,598
  Trophy Points: 280
  Hapana msifanye hivyo Mwalimu kwa manufaa ya Taifa letu siku za usoni...lakini inabidi tusiache kupambana na watu fake ambao wamekuwa wengi kupita kiasi ndani ya Serikali, mahakama, jeshi la polisi n.k.

   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  that is what am praying for kwamba tusifikie kutengeneza wanafunzi fake
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  my fellow teacher, nimetafakari sana hii habari ya reaction ya walimu kama muitikio wa majibu ya serikali mbovu kwenye madai ya msingi nikagundua kuwa TWO WRONGS NEVER MAKE ONE RIGHT, teaching in the wrong way gonna kill our own lovely nation, Tutawatendea vema wanafunzi while knowing the perfect spot to deal perpendicularly with this MOTHERFANTA government,
   
 14. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  msg za bure zina mengi
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280

  mwl mwenzangu nafikiri mtu wa kumuadabisha hapa ni hawa viongozi wetu ila si watoto wetu jamani...........yaani kwanza tungeanza na yule mkuu wa wilaya wa geita sijui tumpe za uso fasta hadi aachie kiti kwa matusi alotutukana
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  je wadhani ni kwasababu ya sms za bure ama ni nia ya dhati ya mtu?
   
 17. b

  bdo JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  fake fake fake kila kitu, ila si mama yangu ,ndg zangu wa tumbo moja, uafrika na utanganyika wetu
   
Loading...