Karibu kizazi legelege na chenye fikra zaifu!

rajoh

Senior Member
Jun 2, 2011
174
142
miaka kadhaa ijayo, watoto wengi watakuwa legelege kwa sababu watakuwa wanacheza zaidi na kompyuta(games, facebook, etc) kuliko kucheza kombolela, mpira, kukimbizana n.k. Hii itafanya kuwa na miili legelege. Elimu pia itakuwa mtu anafikiria kwa msaada wa google. Fikra zitakuwa finyu. Ewe mzazi, jaribu kumwongoza mwanao awe kichwa katika kizazi hicho hatari.
Vijana wengne watazidi kuharibika kwa kutotaka kufanya kazi lakin watataka kuishi katika level ya maisha ambayo hawaendani nayo.

Niwatakie jumapili njema.
 
Sio kweli watoto wa vizazi viajavyo watakuwa fit sana kwa sababu wanaenda sana gym siku hizi kama wewe ni mjasiriamali anzisha gym uone inavyolipa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom