watoto na shule za bweni

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,207
kuna tatizo kwa wazazi/walezi wenye watoto ambao wanasoma baadhi ya shule za bweni.
Nina ndugu yangu yuko shule ya msingi mkoani morogoro std 3
katika hali ya kustaajabisha yeye na mwenzake wamekekutwa na mwl wakati kipindi kinaendelea wamepakatana ,baada ya kuhojiwa kwa monitress na class moniter wakasema ni mchezo wa kawaida kwao kupakatana na kupigana vidole makalioni.
Wakachukuliwa hadi ofisini kwa walimu kilichoendelea bado cjapata feedback.
my take wazazi na walezi shule za bweni ni nzuri ila tuwe makini na watoto wetu hususani hawa wadogo mambo wanayofanyiana vitendo vya kishoga.Usishangae mwanao anakuwa na tabia za kishoga.
 
Makubwa haya.Mambo mengine yanatendeka mpaka shetani anashangaa!!
 
mkuu hilo unalosema ni kweli kabisa.
ni juzi ijumaa nilikuwa kwenye shule moja ya awali. Watoto walikuwa wanaingiziana vidole na penseli(kalamu za risasi) katika nyeti zao wakiwa chooni.
Huwezi amini ni watoto wadogo sana lakini vinatenda vitu va ajabu sana.

Kwa shule hiyo, tatizo walimu wanasema waliligundua baada ya kuwaona watoto wakifanyiana vitendo ivo chooni.
walipobanwa nani kawafunza,vitendo ivo viovu, wapo waliosema wamefunzwa na wenzao hapo hapo shuleni.

kupepelezwa zaidi wakakuta waliowafundisha wenzao huo upuuzi, ni watoto wanaoenda madrassa.
vitoto vinasema baadhi ya maustadhi huwaingizia vidole makalioni. hata vitoto vya kike pia vinafanyiwa mashambulio ya kingono na viongozi wao wa kuwafunza elimu ahekra.

kwa kweli hali ni mbaya kwenye hizi shule.
 
wazazi wa siku hizi sijui ni uzungu au ubusy au kukwepa majukumu! Mtoto wa darasa la tatu boarding?
Baadae atalalamika mtoto hana upendo? Au mtoto hana maadili?
 
dah! Mmenikata maini kabisa...ngoja nikamtoe kid wangu haraka...tatizo sisi tuliosingle tutafanyaje wakuu...? Ni changamoto kwa kweli...
 
tatizo sio single,tatizo udhungu sana na competition miongoni mwa wazazi
mfano mzazi wangu ana wake 3
mzazi wa kwanza (mama mkubwa) watoto wake waoote wanasoma nje ya mkoa.Mama wa 2 akaona wivu anataka nae mtoto wake akasome nje ya mkoa amepelekwa na matokeo yake ndo hayo.

Mimi ni muislam na baba yetu ni al-hajj amempeleka mtt shule moja ya kiislam morogoro
sasa mkuu hapo juu kama walihojiwa na kusema wanafanyiwa madrasa itakuwa ni hatari sana
sababu tukio hilo limetokea ktk shule yenye kutoa maadili ya kidini

Ombi langu tuwe makini na watoto wetu hata walioko nyumbani tuwatengenezee ukaribu nao iliwaweze kutupa ripoti au matukio yanayowatokea.
 
dah! Mmenikata maini kabisa...ngoja nikamtoe kid wangu haraka...tatizo sisi tuliosingle tutafanyaje wakuu...? Ni changamoto kwa kweli...

ndugu, tembo hashindwi kubeba mkonga wake......
Tafadhali tafadhali mtoe mtoto huko boarding....
Humsaidii mtoto bali unamuharibu.......
Na bahati mbaya damage yake hairekebishiki au itachukua muda mrefu sana....

Imagine mtoto wa kiume ajifunze tabia za kishoga? Kuna kurekebisha hapo? Au wa kike aishie kusagana? Na kwa bahati mbaya watoto wengi hujifunzia hayo boarding.....

Plz plz plz muondoe huko
 
Back
Top Bottom