Serikali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Juma. W, Oct 14, 2012.

 1. J

  Juma. W Senior Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma waliopandishwa vyeo kuanzia julai 2010 na kuendelea hawajalipwa nyongeza za miaka hiyo. Serikali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake kama kweli lengo ni kuleta maendeleo.
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280

  sio huko tu, waulize walimu labda lowassa atakuja kulipa.
   
 3. m

  mwamola Senior Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio malimbikizo tu, madaraja pamoja na annual increment watu fulani fulani wanalipwa ndani ya taasisi moja wengine wanaambiwa eti wizara ya utumishi ndo imekataa kabisa na serikali ilishafuta nyongeza ya mwaka (annual increment). Kibaya zaidi wafanyakazi wa elimu ilelile wanaofanya kazi kwenye vyuo vikuu vya umma wanatofautiana kwa kiasi kikubwa sana cha mshahara yaani kati ya laki 3 na 8.
   
 4. m

  mishalejuu Senior Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka kusema Lowassa ndo raisi wa TZ 2015- 2020? au unamanisha atakuja kulipa akiwa nani nalini? making me sick!
   
 5. J

  Juma. W Senior Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  serikali inakatisha tamaa ya kufanya kazi. wenyewe wanaweka vigezo wavitakavyo ili upande cheo, ukivifikia vigezo hivyo haupewi haki yako. wataalumu nchi hii lazima watazidi kuondoka tu na wale watakaobaki watakuwa buzzzz sana na kutafuta pesa. watoto wa nchi hii ndio waathirika wakubwa. nina uhakika tutakuja kupata graduates wasiojua hata walichosomea miaka mitatu. watanzania tunalazimishwa kufikia hapo. kinachosikisha ni kujua wengine wananufaika vipi na utajiri wa nchi hii wakati T A. wanadai hela ya nauli ya 2007.
   
Loading...