Mweka hazina Iringa press club mwanahabari Vicky Macha afariki dunia ghafla! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mweka hazina Iringa press club mwanahabari Vicky Macha afariki dunia ghafla!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Oct 14, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  
  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  TAARIFA kutoka mkoani Iringa ambazo zimeufikia mtandao huu wawww.francisgodwin.blogspot.com asubuhi hii zinadai kuwa aliyekuwa mweka hazina wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa(IPC) na mwandishi wa magazeti ya NIpashe mkoa wa Iringa Vichky Macha (pichani) amefariki dunia asubuhi hii.


  Vicky Macha kabla ya kifo chake alikuwa amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Iringa akisumbulia ugonjwa wa Maralia na kulazwa katika Hospitali ya mkoa wa Iringa kabla ya leo asubuhi hii kufariki dunia.

  Vicky Macha katika uhai wake alipata kufanya kazi kwa karibu na marehemu Daudi Mwangosi ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa (IPC) na hata siku aliyefariki dunia Vicky Macha kama mweka hazina wa IPC mara baada ya kumweleza juu ya kifo cha Mwangosi alipoteza fahamu kwa muda katika ofisi za IPC .

  Hata hivyo kutokana na siku ya tukio viongozi mkuu nilikuwa ni mimi Francis Godwin ambaye nilikuwa ni naibu katibu mkuu wa IPC kwa kushirikiana na vema na Vicky tuliweza kujikaza na kuhakikisha mambo yanakwenda vema japo mara kwa mara mwenzake alikuwa akiishiwa nguvu na mimi pia nikiishiwa nguvu na kujikuta tukibembelezana na kujikaza.


  [​IMG]

  Rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Keneth Simbaya (kulia) akikabidhi mchango wa rambi rambi ya kifo cha Mwangosi kwa makamu mwenyekiti wa IPC Francis Godwin kutoka kwa vilabu mbali mbali vya wanabari nchini kwa ajili ya kifo hicho , katikati ni marehemu Vicky Macha akilia kwa uchungu na kushoto ni katibu mtendaji wa IPC Frank Leonard.  Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea hapa
  jambo kwa sasa naweza kusema Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake na lihimidiwe milele

  Chanzo Francis Godwin
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  
   
 2. G

  GENERARY Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Eleza kidogo basi ilivyo
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Umeona Maelezo Sasa?
   
 4. Gogo la choo

  Gogo la choo JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ..R.I.P Vicky Macha..tunasubili report ya madaktari tu..!!
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ilivyoje sasa?? Si taarifa hiyo hapo inajieleza??

   
 6. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Sad news.
  BWANA alitoa, BWANA ametwaa, jina lake lihimidiwe.
   
 7. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  RIP
  Vicky Macha
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Poleni sana wafiwa!!
   
 9. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  R.I.P Vicky Macha.
   
 10. Fisadidagaa

  Fisadidagaa JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 901
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Bwana aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi,R.I.P Vick.
   
 11. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  RIP Vicky!!
   
 12. M

  MWUZA SOLI MAARUFU Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  R.I,P VICKY MACHA tunawaombea ndugu na jamaa waweze kukabiliana na kipindi hiki kigumu ila mwenyez Mungu atawarehemu.AMINA
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  poleni wafiwa
   
 14. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  dah!anyway RIp dada!
   
 15. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  R I P, V. Macha, kamwambie Mwangosi kuwa RPC wa MWZ kauwawa.
   
 16. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilipita mida fulani karibu na ofisi zao nikaona baadhi ya waandishi wa habari wakiwa wamekusanyika sikujua kilichokuwa kinaendelea kumbe msiba tena poleni sana wafiwa! Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Alilazwa kwa ugonjwa wa malaria? Eh!!
   
 18. Mtukuru

  Mtukuru Senior Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP Vicky!!!!!!!!!!!
   
Loading...