Ivi watawala wanangoja mpaka msikiti uchomwe moto ndo wachukue hatua?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Hii zambi ya udini ilipandikizwa na watawala wakati wa kampeni its time to wipemit out kama kweli twataka muenzi mwalimu after his death 13 years ago
Wakristo kuna wakati watachoka, maana makanisa yalichomwa kule zanzibar , bagamoyo, tunduru na sasa mbagala, lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahusika zaidi ya kuambiwa watu kadhaa wamekamatwa then kesi zinaisha kishikaji
 
Back
Top Bottom