CCM....Battery Low... CUF....jino moja.... CHADEMA...fulu chaji.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM....Battery Low... CUF....jino moja.... CHADEMA...fulu chaji....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by President Elect, Oct 14, 2012.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Siasa za nchi yetu bana kama betri za mchina vile, huwezi jua ipi feki na ipi orijino.

  Utaona simu iko 'low battery' lakini inadunda hata siku mbili bila kuzima, nyingine iko 'full charge', na simu moja tu ikiita unapokea vizuri, lakini kabla hujamaliza kuongea ghafla inakata, betri flat.

  Yataka moyo sana wallahi, amani kwenu.
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda title ya Thread yako.
   
 3. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hhm?!..hili jukwaa sasa ..hoja iko wapi hapa?
   
 4. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mbona hoja ni nyepesi kuielewa: J.J. Mnyika atauweza mziki wa Nape? Au kwa uwazi zaidi, CHADEMA itaweza kuing'oa CCM 2015? Isije ikawa sawa na betri ya mchina unaichaji ucku kucha, asubuhi ukipokea simu moja tu, chaji yote kwishney!
   
Loading...