Mwanajeshi mmoja amekufa na wengine sita kujeruhiwa vibaya asubuhi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanajeshi mmoja amekufa na wengine sita kujeruhiwa vibaya asubuhi hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Oct 16, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,316
  Likes Received: 4,769
  Trophy Points: 280
  Ni katika ajali iliyo tokea maeneo ya kinondoni baada ya gari ndogo ya jeshi kugongana uso kwa uso na daladala. Kwa upande wa daladala haijajulikana madhara. Mungu awajalie afya njema wote walio patwa na mkasa huo. Ni hayo tu. mia
   
 2. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mungu awajalie afya nyema wajeruhi
   
 3. S

  Sangari Senior Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Poleni waliofiwa. R.I.P waliokufa!AMEN.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,061
  Likes Received: 3,806
  Trophy Points: 280
  Hakuna picha...??
  Alazwe pema aliyekufa.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,221
  Trophy Points: 280
  Ok Ndio hyo ajali iliyotokea mikocheni iliyolipotiwa na member mwenzetu hapa!! Nadhani Pasco umeipata...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Pole zao majeruhi! Rip waliotutangulia! Duniani tunapita!
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,463
  Likes Received: 1,232
  Trophy Points: 280
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,463
  Likes Received: 1,232
  Trophy Points: 280
  Mwanajeshi mmoja kafariki papo hapo, dereva wa daladala kakatika miguu, na wanajeshi wengine wamejeruhiwa vibaya.
  Sababu ya ajali ni kutanua kwa daladala iliyokuwa ikitokea Kawe na kugongana uso kwa uso na Landrover ya jeshi.
  Injini ya Landrover imezama kiasi cha kuvivunja vunja viti vya mbele yaani dereva na abiria wa kushoto yake.

  Source: Bonge wa PB
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,586
  Likes Received: 15,020
  Trophy Points: 280
  poleni wote
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  Ina maana Mikocheni na Kinondoni zimetokea ajali zinazofanana?
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,283
  Likes Received: 3,951
  Trophy Points: 280
  Mikocheni iko wilaya ya Kinondoni mkuu
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  Kwanini asiwe specific??
  Kama ni ajali ya Mikocheni tayari kuna thread yake tangu alfajiri
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,283
  Likes Received: 3,951
  Trophy Points: 280
  Ah uelewa kaka ni kitu kigumu sana
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,347
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  poleni wote waliofikwa.
   
 15. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hata deleva keshafariki
   
 16. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hapo unaweza ikawa dereva dala dala na wanajeshi wote walikuwa wanatanua kwa speed kaama kawaida..
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  Kwani walikuwa speed 200?
  ila kwenye foleni huwa natamani kushuka nitandike vibao wanaotanua. Ustaarabu ni kazi sana aisee!
  haya bwana!
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,221
  Trophy Points: 280
  Hakuna Hata Picha Yakheeeee!!!!
   
Loading...