Chadema na tv yake

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Wapendwa wa nachadema ninaomba ikiwezekana tuwaombe viongozi wetu wa cdm wajipange kuanzisha kituo cha television.kituo chenyewe kitatumika kujitangaza sababu tv ya taifa inabagua,, nawakilisha je mnasemaje?
 
good idea, kwani ukitaka kujikomboa sharti ujenge tabia ya kujitegemea katika kufanya mambo yako
 
hiyo topic yako inaonyesha chadema tayari wana tv yao,unaonaje ukija kivingine?
 
hili mbona si jipya tena kuongelewa humu ndani tokea uchaguzi mkuu uliopita na bado hakionekani chochote?
 
Back
Top Bottom