Muziki kwenye misiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muziki kwenye misiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malolella, Oct 16, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari wanajf. Kumekuwa na utamaduni wa kupiga muziki mkubwa kwenye misiba sehemu nyingi mijini na vijijini, ikitokea msiba wafiwa wanataka muziki ukodishwe ili wakeshe. Je huu utamaduni niwetu na nini faida yake? NB. Katika pitapita zangu hii cjaiona kwenye misiba ya kiislam.
   
 2. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuna sherehe tatu tu kuzaliwa,kuoa au kuolewa na kufa hivyo hiyo huwa ni ishara ya kusherehekea ndio maana hakuna msiba usiokuwa na chakula cha wote waislamu wao mwili haulali hvy haina haja ya kukesha wakati mmeshazika hata kwa wakristo hwa ni kwa kipindi ambacho hawajazika

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimeuonja utamu wa ...........! piga gitaa wewe ache maneno, hata huko juu wanapenda hii makitu!
   
 4. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mziki mzito na bierre za kumwaga. Ndo kwenda na wakati huko.
   
 5. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wewe haiukuhusu.
  Ukifiwa lia mwanzo mwisho jigalagaze hakuna atakayekuuliza.
  Wenye kupiga muziki na kukesha ni haki na uchaguzi wao.
  Unadhani ukilia sana ndio atafufuka au hatapata hukumu kwa matendo yake?
   
 6. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Kiduku usiku kucha n wafiwa full kung'ara make up za kufa mtu, bling bling, mpaka kulia wanasahau wanabaki kutabasamu 2

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huu utamaduni ni wa kawaida sana mkuu, nenda kwa kabila la wajaluo ndiyo utaona mambo
   
 8. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sina uhakika kama marehemu huwa wanahitaji kusheherekewa au kusikitiwa...
   
 9. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Marehemu hahitaji kusikitikiwa.Uliyebaki ndio unatakiwa kujisikitikia.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  [h=1]Mashambulizi ya kuogofya Nigeria[/h]
  16 Oktoba, 2012 - Saa 10:20 GMT  [​IMG]Waathiriwa wa mapigano mjini Maiduguri


  Milipuko ya sauti ya juu pamoja na milio ya risasi ilisikika leo mjini Maiduguri, Kaskazini mwa Nigeria, mji ambao umeshuhudia ghasia na vurugu zinazosababishwa na kundi haramu la wapiganaji wa kiisilamu la Boko Haram.
  Taarifa kuhusu mashambulizi hayo bado hazijatolewa , lakini inaarifiwa angalau watu kumi wameuawa ikiwemo wanajeshi kadhaa.
   
Loading...