Huyu Jaji si ndie CA ilitengua uamuzi wake kuhusu umri wa Lulu! Hukumu zake nyingi huwa zinatenguliwa na Court of appela (CA) anyway! Hoja ya msingi mbele yake ilikuwa amount ya dawa au possession of dawa? Uhuru wa mahakama uheshimiwe.Mahakama yasema hana hatia, kasota miaka minne
Mintanga ni Alhaji
Ni bora tukasema hii taasisi ya mahakama ifutwe tu..
Lazima kumnusuru Alhaji---------