Inashitua: Watanzania wengi hawasikitishwi na Kifo cha RPC Mwanza!

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,129
18,741
Katika maongezi yangu na watu na usomaji wangu juu ya kifo cha RPC Mwanza, nimeshituka kugundua kwamba Watanzania wengi hatuguswi sana na kifo cha huyu RPC, na wengine hata kudai ingekuwa ni RPC wa Iringa ndio ameuwawa wangekunywa champaigne!

Hii ni dalili kwamba uhusiano wa jeshi la Polisi na Wananchi umeharibika sana! Polisi wanapaswa kujitahidi sana kurekebisha hili. Sijawahi kuona jeshi la Polisi linalofanikiwa kupambana na uhalifu bila ushirikiano na raia, na kwa Tanzania inaonekana wazi kwamba Polisi wamezorotesha sana uhusiano wao na raia wa Tanzania.
 
naomba iingie kwenye records, sawa sawa, kabla ya kifo cha mwandishi mwangosi, likuwa very optimist kuwa jeshi la polisi pengine litajirudi na kuacha mzaha na maisha ya watanzania, lakini baada ya kifo kile cha aibu na chenye kuogofya cha mwandishi mwangosi na majibu ya kejeli ya polisi na serikali, mimi na familia yangu tumesema liwalo na liwe sitenda hata kwenye msiba wa polisi yeyote, na wala sihudhuniki na vifo vyao. Mke wa mwangosi anabeba leo Mzigo mkubwa kama Mjane halafu RPC Kamuhanda anadunda mtaani na watawala wapo kimya, haki ya kuishi haiwezi kutolewaq kama privellege kwa baadhi ya watu , no. Hivyo basi jana nzima nakula bia siku nzima kwa kilichotokea na ikiwezekana matukio hayo yaendelee tu kwa wa iringa na wenzake. SIWEZI KUWA MNAFIKI KUSIKITISHWA NA KIFO CHA POLISI WAKATI WAO WANAUA WATU WASIOKUWA NA SILAHA, KAMA UNASIKITIKA , SIKITIKA MWENYEWE HUKO, MAISHA YA MWANGOSI YALIKUWA NA THAMANI PIA , SIO YA LIBERATUS PEKE YAKE, NIONGEZE HEINEKEN BARIDI TAFADHALI.
 
Ukiona watu hawasikiyiki kwa tatizo fulani ujue kuna tatizo ila ninachofurahi ni kwamba vitu vizito sasa vinawarudia hata wao viva vitu vizito
 
Mie hata siku moja sitakaa ati nimsikitikie kamanda Liberatus Barlowa yaani mie niko na raha sana nikisikia ati hawa nao wanauliwa aisee wajameni safi sana,
Ni juzi tu walimuuwa Daud Mwangosi na leo kimeeleweka sasa lipi la ajabu mbona siku zile hata hatujasikia huyo IGP Siad Mwema kusikitika na zaidi ya yote aliongea pumba wakati alivyoenda kule kwenye tukioa la kuawa kwa Daud Mwangosi hapa napata kitu baridiiiiiiii kama roho ipendavyo huyu huyu si juzi tu kasema ati yule afisa uhamiaji kaingia kwenye anga na akaongeza kuwa wao hawalembi kwa majambazi ni bullet tu so yu wapi leo hii,wale jamaa waliompa Bullet their are Heroes big up.Nasubiria siku Michael Kamuhanda kamanda wa Iringi akidondoka hata kwa maralia nitafanya party.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
Kwa vyovyote vile mtu kuuawa bila kosa haikubaliki. Hisia za jino kwa jino si nzuri kwa mustakabali wa nchi. Kwa tunaomfahamu RPC Barlo alikuwa ni mtu wa watu na aliipenda familia yake na hakuwa na ugomvi na mtu. Hakuwa mtu wa mambo yasiyofaa katika jamii. Halafu tupigane na mfumo badala ya kulaumu mtu mmoja mmoja.
 
Tangu jana natafakari kifo cha Barrow. Nakihusisha na kifo cha Kombe cha wakati ule. Hebu tujiulize, Kamanda wa Polisi tena wa Mkoa anaweza kuuwawa kirahisi hivi? Turejee ziara ya PM kama sikosei mwezi uliopita Mwanza. Alipanda jukwaani na kuzungumza lakini watu hawakumsikiliza, walimuonesha tu alama ya V. Akaagizwa Barrow alete FFU. Kwa mujbu wa vyombo vya habari alisema hataleta FFU kwani pale kwenye mkutano kulikuwa hakuna fujo. Hisia ni kwamba, labda serikali ilidhani RPC huyo kakaidi amri kwa kuwa nji mchaga, na wachaga, kwa mujibu wa CCM wote ni CDM

Dawa ikawa ni ELIMINATION tactics. Jiulize, kwa nini intelijensia iko kimya na huyu alikuwa si mtu mwenye cheo kidogo? Ilipaswa sasa hivi Mwanza ziwa liwe limekauka kwa kuwatafuta hao majambazi kila sehemu.

THINK AGAIN
 
Tangu jana natafakari kifo cha Barrow. Nakihusisha na kifo cha Kombe cha wakati ule. Hebu tujiulize, Kamanda wa Polisi tena wa Mkoa anaweza kuuwawa kirahisi hivi? Turejee ziara ya PM kama sikosei mwezi uliopita Mwanza. Alipanda jukwaani na kuzungumza lakini watu hawakumsikiliza, walimuonesha tu alama ya V. Akaagizwa Barrow alete FFU. Kwa mujbu wa vyombo vya habari alisema hataleta FFU kwani pale kwenye mkutano kulikuwa hakuna fujo. Hisia ni kwamba, labda serikali ilidhani RPC huyo kakaidi amri kwa kuwa ni mchaga, na wachaga, kwa mujibu wa CCM wote ni CDM

Dawa ikawa ni ELIMINATION tactics. Jiulize, kwa nini intelijensia iko kimya na huyu alikuwa si mtu mwenye cheo kidogo? Ilipaswa sasa hivi Mwanza ziwa liwe limekauka kwa kuwatafuta hao majambazi kila sehemu.

THINK AGAIN

Well presented!! Hata mimi niliwaza hivyo immediately!!! Serikali ingejua tu Burlow alikuwa askari msomi na si kama akina Kamuhanda hawana CV kazi ni kutii amri za wakubwa tu. Ila nasema hata nikimkuta polisi amendondoka njiani sisimani. Huko nyuma nikipita wakiomba lift nilikuwa nawapa lakini kwa muda hivi nikipita wakinyoosha mkono namwonyesha alama ya kuwa niko tu hapa karibu. The rotten system from the leaf to the root!!! Udhaifu mkubwa sana huu dunia nzima hakuna.
 
Kwa vyovyote vile mtu kuuawa bila kosa haikubaliki. Hisia za jino kwa jino si nzuri kwa mustakabali wa nchi. Kwa tunaomfahamu RPC Barlo alikuwa ni mtu wa watu na aliipenda familia yake na hakuwa na ugomvi na mtu. Hakuwa mtu wa mambo yasiyofaa katika jamii. Halafu tupigane na mfumo badala ya kulaumu mtu mmoja mmoja.

alingia kwenye mtego wa majambazi nao wakajua ndo mlengwa wao nao wakatekeleza wajibu wao, jino kwa jino safi sana
 
Tangu jana natafakari kifo cha Barrow. Nakihusisha na kifo cha Kombe cha wakati ule. Hebu tujiulize, Kamanda wa Polisi tena wa Mkoa anaweza kuuwawa kirahisi hivi? Turejee ziara ya PM kama sikosei mwezi uliopita Mwanza. Alipanda jukwaani na kuzungumza lakini watu hawakumsikiliza, walimuonesha tu alama ya V. Akaagizwa Barrow alete FFU. Kwa mujbu wa vyombo vya habari alisema hataleta FFU kwani pale kwenye mkutano kulikuwa hakuna fujo. Hisia ni kwamba, labda serikali ilidhani RPC huyo kakaidi amri kwa kuwa nji mchaga, na wachaga, kwa mujibu wa CCM wote ni CDM

Dawa ikawa ni ELIMINATION tactics. Jiulize, kwa nini intelijensia iko kimya na huyu alikuwa si mtu mwenye cheo kidogo? Ilipaswa sasa hivi Mwanza ziwa liwe limekauka kwa kuwatafuta hao majambazi kila sehemu.

THINK AGAIN

siku kiria na machemuli walivotaka kuuliwa alichukua hatua gani?
 
naomba iingie kwenye records, sawa sawa, kabla ya kifo cha mwandishi mwangosi, likuwa very optimist kuwa jeshi la polisi pengine litajirudi na kuacha mzaha na maisha ya watanzania, lakini baada ya kifo kile cha aibu na chenye kuogofya cha mwandishi mwangosi na majibu ya kejeli ya polisi na serikali, mimi na familia yangu tumesema liwalo na liwe sitenda hata kwenye msiba wa polisi yeyote, na wala sihudhuniki na vifo vyao. Mke wa mwangosi anabeba leo Mzigo mkubwa kama Mjane halafu RPC Kamuhanda anadunda mtaani na watawala wapo kimya, haki ya kuishi haiwezi kutolewaq kama privellege kwa baadhi ya watu , no. Hivyo basi jana nzima nakula bia siku nzima kwa kilichotokea na ikiwezekana matukio hayo yaendelee tu kwa wa iringa na wenzake. SIWEZI KUWA MNAFIKI KUSIKITISHWA NA KIFO CHA POLISI WAKATI WAO WANAUA WATU WASIOKUWA NA SILAHA, KAMA UNASIKITIKA , SIKITIKA
MWENYEWE HUKO, MAISHA YA MWANGOSI YALIKUWA NA THAMANI PIA , SIO YA LIBERATUS PEKE YAKE, NIONGEZE HEINEKEN BARIDI TAFADHALI.
We huna mjomba ako polisi? kaka yako ,shemeji yako yaaani mtu yeyote blood related ambaye ni mmwera halafu usiende kuzika? punguza maneno yakhe !
 
mapolisi ni janga la kitaifa, matraffick ndio usiseme, wanakula rushwaaaaaa sijawahi kuona. yaani hawafai hata kuitwa binadamu, NAWACHUKIAAAAAA! wale wa mikoani sasa hivi msimu wao wa kuneemeka unakaribia, kipindi cha mavuno chaja, wanakukamata na kukuuliza kwann mtoto analia sana, ni kosa na faini ni 30,000. nayachukiaaaaaaaa mapolisi na matraffick yoteeeeee, yafe tu kwa kweli!
 
Wanainchi hawana tena imani na jeshi lengwa la police,ilikuwa kazi yao kubwa ni kulinda raia na mali zao,sasa wamegeuka kuwa uwa uwa uwa!

Sasa usikitishwe na vifo vyao kwa sababu gani?

Kuna huyu anaitwa Kamuhanda ningetamani tumsikie leo hayupo ktk ulimwengu huu!

Hawana msaada wowote kwa jamii yetu!
 
assassins wawe majambazi, Polisi Jamii, Polisi themselves au Usalama wa nchi me I dont care what kinachonivutia hapa ni kuwa Police is down, haijalishi ni alikuwa ni mtendaji wa aina gani.... Maana kama wangemuua yule afisa wa idala a uhamiaji, maelezo ya kesho yake yangesomeka kuwa "afisa yule alikuwa akijihusisha na vitendo vya kijambazi na polisi walikuwa wakifuatilia nyendo zake kwa muda baadaya ya kupata taarifa za kiintelligensia toka kwa raia wema na walifanikiwa kumuua baada ya kurushiana naye risasi na polisi". HALAFU MNATAKA NIJALI!! NIJALI NINI?
 
Police wa mkoloni ilikuwa ni kuhakikisha wanawasuppress waafrika ili waweze kunyonya rasilimali kadri wawezavyo! Police wa leo ni wanaacha majukumu ya na kusikiliza agizo la boss wao! Ni kundi la ajab sana! Ki ukweli nawachukia mno! Baadala ya kupigania maslahi yao mathalani wengi wao wanaishi nyumba za ajabu sana mithili ya kambi za wakimbizi!
 
adui yangu mkubwa anaitwa askari

coz kunasiku nilikuwa natoka kazini kama mida ya saa 6 usiku nikakutananao njiani wako doria

wakanisimamisha na kuanzakunihoji
nikawaambia mm ni mfanyakazi wa kuuza chipsi (ambayo ndo kazi yangu) na muda huu natoka kazini naelekea nyumbani

wakataka vitambulisho nikawaonesha
ndipo askari m1 akataka kunisachi nikamwambia kabla hujanisachi naomba niangalie mikonoyako kama hujabeba kitu coz muda mwingine anaweza akakubambikizia bangi
daaaaaahhhhh!! Nilipomaliza kusema hiyo sentensi nilijikuta nikochini coz walinipa makofi ,mitama na mateke tangu siku hiyo hawa viumbe siwapendiii
 
Back
Top Bottom