Wana siasa wa Tanzania tunajifunza nini kutokana na Picha hii?

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487


Nimekaa na kuiangalia picha hii kasha nikaanza kutafari juu ya siasa za uhasama hapa kwetu, mwisho nikaanza kucheka peke yangu. Leo wanasiasa wa kibongo wanachukiana kama paka na panya, kwa nini? Wana siasa wetu naomba jibu.
 

Attachments

  • Obama and Romney.jpg
    Obama and Romney.jpg
    14.9 KB · Views: 136
Pompo hizo za kinafiki sana, lite kama ungelikuwa unafuatilia yao ni tofauti sana na wenzetu wanavyomaanisha! wao wanashindana kwa kujenga HOJA na wala si kuparurana kwa MATUSI ya nguoni.
 
Back
Top Bottom