Mwenyekiti wa serikali za mitaa kata ya Kisutu bw. Yusuf afariki tokana na kipigo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa serikali za mitaa kata ya Kisutu bw. Yusuf afariki tokana na kipigo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MKWELIMAN, Oct 16, 2012.

 1. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jumatatu iliyopita alivamiwa na kundi la watu na kumpa kipigo kikali na kufariki dunia jana [walitaka mnyanganya vitu so wakabishana ndipo walipompiga mpk kuwa hoi na kulazwa MOI last week na kufariki jana asbh]

  Alikuwa na bag la laptop (akiwa kabebwa kwenye pikipiki), akagongwa ili adondoshe lkn akakataa....
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,961
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha, utu umekwisha umebakia unyama.
  Fisi ndio huwa wanauana wakigombea mifupa, ni aibu kuua mwanadamu mwenzio kwa ajili ya laptop
   
Loading...