USHURU wa gari ndogo nitalipa kiasi gani .

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Wana jf mwenye kufahamu . Nimeagiza gari ndogo saloon toyota camry ya mwaka 2003 . Yenye cc 1500 . Na nimeinunua kutoka japani kwa bei ya dola 1500. Na je katika ushuru wanatumia vigezo gani. Na inachukua muda gani hadi gari kutoka . Na gharama za agent ni kiasi gani.
 
Ingia kwenye website ya TRA utaona vyote na kufanya hesabu zako mwenyewe. Ngarama za agent si kubwa sana.
 
Mahesabu ya kodi za magari ni very complex na hata hawa TRA hawataki kuyarahisisha ili mtu aweze kupiga mahesabu yake mwenyewe! Ingia kwenye website ya TRA utayakuta mahesabu hayo but i hope utarudi patupu. Kwa taarifa yako valuation zote hufanyika Dar kwa usiri mkubwa!
 
Pole TRA hawana fomula wala msalie mtume. Andaa milioni 4 na laki tatu
 
Wana jf mwenye kufahamu . Nimeagiza gari ndogo saloon toyota camry ya mwaka 2003 . Yenye cc 1500 . Na nimeinunua kutoka japani kwa bei ya dola 1500. Na je katika ushuru wanatumia vigezo gani. Na inachukua muda gani hadi gari kutoka . Na gharama za agent ni kiasi gani.

Hiyo dola 1500 ni FOB au CIF....? Chech usijeibiwa as matapeli ni wengi zaidi ya ujuavyo.
 
Wana jf mwenye kufahamu . Nimeagiza gari ndogo saloon toyota camry ya mwaka 2003 . Yenye cc 1500 . Na nimeinunua kutoka japani kwa bei ya dola 1500. Na je katika ushuru wanatumia vigezo gani. Na inachukua muda gani hadi gari kutoka . Na gharama za agent ni kiasi gani.

kupe (what a name!), gonga hapa: www.gariyangu.com utapata gharama zoote kasoro zile za clearing agent.
 
CAMRY SV40 2000SW PETROL 25,000
CAMRY SV41 2362SW PETROL 25,000
CAMRY SXV 20 2200 36,000
CAMRY ACV40 2000SAL PETROL 48,760
CAMRY ACV40 2400SAL PETROL 48,760

ni camry ipi kati ya hizi tukusaidie kukupa hesabu kamili

haya mdau camry ipi hapo tukusaidie
 
TABULATION FOR MVs WITH IMPORT DUTY, EXCISE DUTY & VAT - Direct Imports
Motor vehicle with more than 1000cc but not exceeding 2000cc Motor vehicle with more than 1000cc but not exceeding 2000cc (Aged more than 10 Years)
Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io) Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io)
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 25,000 Current Retail Selling Price
Depreciation70% Depreciation
Freight Freight
Customs value 3,874 Customs value -
FOB Value 3,874 FOB Value -
Import Duty 25% 969 Import Duty 25% -
Excise Base 4,843 Excise Base for vehicle aged more than 10 years -
Excise Duty 5% 242 Excise Base -
VAT Base 5,085 Excise Duty 5% -
VAT 18% 915 VAT Base -
Total Taxes 2,126 VAT 18% -
Total Taxes in TSHs 3,401,453 Total Taxes -
Total Taxes in TSHs -
 
Back
Top Bottom