Hutakiwi kukata tamaa and keep trying until it is Done...!
founder and CEO of www.oric.co.tz and www.aio.co.tz skype: alfred.kohi, 0784800989/0715800989
Leo mchana niliwapigia simu watu wa TFDA na kuwaeleza kuwa kuna maji ya RWENZORI hapa MUSOMA ambayo yamesambaa mjini wakati muda wake wa kutumika umekwisha. Cha ajabu wamenijibu kwamba wao wako...
Mungu awatie nguuvu
YEYE NI BABA WA YATIMA MUNGU WA WAJANE ....MSIKATE TAMAA YUPO MUNGU MWEZA YOTE,JOHN N I JINA
MOSHI NI JINA,SALUM NI JINA RAMA NI JINA LAKINI KUNA JINA LENY NGUVU JINA LENYE...
Kweli binadamu hatutaweza kufanana akil au maadili, yan saiz hawa watangazaji wa kipindi cha JAHAZI CLOUZ badala wakae wazungumze mambo ya maana wanakaa na kujadili mambo ya kishenz ya kutongozana...
Mie nadhani Wamalawi wanazidi kujisahahu na kuendelea mbele zaidi na kuanza kutuporomoshea matusi eti sisi wajinga....Kikwete mpumbavu.....hatujui kiingereza hivyo tutashindwa kesi ikiwa...
Bado mama Kijazi anasema zile mvua hatari sana za El nino bado ziko pale pale na hataki utabiri wake udharauliwe. Amesema kanda ya ziwa zimeanza na Dsm kaa standby.
Miaka kadhaa iliopita tuliletewa msaada wa vyanarua ambavyo baada ya kugawiwa kwa mizengwe mingi ilikuja kuibuka kasoro nyingine kuwa vyandarua vile vingi vilikua vya futi 3 na nusu (3 1/2)
kiasi...
Tanzania in Africas 10 best governed list
Monday, 15 October 2012 22:48
By Samuel Kamndaya, Business Editor
THE CITIZEN
Dar es Salaam
Tanzania has been ranked among Africas ten...
Wana JF,
Nina rafiki zangu kadhaa wa kiislamu. Tunapendana na kuheshimiana licha ya tofauti ya ki-imani. Muislamu mmoja alikuwa 'group study' moja na mimi. Rafiki yangu tangu Form I hadi Form IV...
watanzania ivi ni kweli wanasifa hizi? ni wavivu, ila wanataka utajiri, hawtaki kujishughulisha, wavivu wa kufikiri hadi wanadanganywa katika mikataba. hawapendi kusoma lakini kufaulu wanataka...
Salaam,
Wapendwa taarifa hii naileta kwenu kama nilivyoipokea toka kwa ndugu yangu. Mimi binafsi fundisho nililopata ni usemi wa ile methali isemayo "WEMA HAUOZI"
jkn
"Ni siku nyingi...
Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo.
Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview...
Naam wadau,nimeleta hii mada baada ya kuona jinsi baadhi ya watu wanavyohangaika after retire.Nimebahatika kufanya kazi ktk makapuni mbalimbali ya cm toka kwa provider na macontractor kama tech...
wanaswa na na kompyuta, meza za kanisa
Mbagala.
Tuesday, 16 October 2012 08:32 Pamela Chilongola
WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi
wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika
Kanisa...
Wana JF niko ndani ya uwanja wa CCM Kirumba ambapo uchaguzi wa kuwapata viongozi wa ccm mkoa wa Mwanza unaendelea hivi sasa,hata hivyo mchuano mkali ni kati ya Yule Gwiji wa siasa Athony Diallo na...
Wadau ninaangalia taarifa ya habari ITV, kilichonishangaza ni taarifa ya Raisi na viongozi wengine wako ziarani Oman,kilichonishangaza mimi ni jinsi viongozi wetu walivyokuwa busy kushangaa hekalu...
Wakuu leo nimepita katika maeneo ya kiwanda cha General Tyres kuelekea njiro (Arusha) nikaona kuna ukarabati unaendelea pale.
Kiwanda hiki kimesimamisha uzalishaji kwa zaidi ya miaka kumi sasa...
Leo asubuhi hii nimesikia waziri fulani akisema wanataka takwimu za watanzania waishio nje ya nchi ili waweze kukusanya mapato yao na kupigia upatu kwenye katiba uraia wa nchi mbili...wazo hili...
Wakuu,Poleni na mishemishe za kutafta Mkate wa kila siku.Naomba kuelimishwa,Kabila gani TZ,linajitahidi kuongea lugha ya Taifa kwa ufasaha kidogo na Lugha gani ilitaka ifanywe lugha ya Taifa.(Si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.