heshima za mwisho kwa aliyekuwa RPC Mwanza.

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza ACP Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!
 
Unaagwa hapa nyamagana, kisha unapelekwa kwa ndege dar. kesho j4 mazishi na maziko kwake marangu, kilimanjaro.
 
utakuwa nyamagana kuanzia saa nne, misa ya kumuombea itafanyika, na baadaye salamu kutoka kwa watu mbalimbali viongozi wa dini, polis, serikali, siasa na heshima kwa wote kabla ya saa nane kupelekwa airport tayari kwa safari ya kwenda dar.

Dar mwili utapelekwa kwake upanga dsm, huko utaagwa na ndugu jamaa na marafiki na kesho unapelekwa marangu tayari kwa taratibu za mazishi
 
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza SAPC Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!

Utuwakilishe huko...
 
Wastage of government funds! Why don't they just take his body to KIA then from there drive his body to Marangu? Why should they take him to Dar then MOSHI? What a pitty country...
 
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza SAPC Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!

Correction madam charming lady..it's ACP not SAPC or even SACP!!! Natanguliza shukrani..

Wastage of government funds! Why don't they just take his body to KIA then from there drive his body to Marangu? Why should they take him to Dar then MOSHI? What a pitty country...

I agree with u on this one Arushaone, a waste of government funds!
Ila ndo tatizo hilihilo hadi kwenye huduma za jamii...wanataka kuwafikishia watu huduma badala ya watu kufuata huduma!!!
 
Last edited by a moderator:
asante Mentor kwa kunisahihisha. ila nami nimecopy kutoka uzi mmoja jukwaa la siasa. basi hata wao wamechapia. . . .
ntamaholo tutafurahi! asante
 
Last edited by a moderator:
Mbona Mke wake na watoto hawatajwi wala sijaona maali wanaomboleza!mmm ebu nijulisheni mnieleweshe
 
utakuwa nyamagana kuanzia saa nne, misa ya kumuombea itafanyika, na baadaye salamu kutoka kwa watu mbalimbali viongozi wa dini, polis, serikali, siasa na heshima kwa wote kabla ya saa nane kupelekwa airport tayari kwa safari ya kwenda dar.

Dar mwili utapelekwa kwake upanga dsm, huko utaagwa na ndugu jamaa na marafiki na kesho unapelekwa marangu tayari kwa taratibu za mazishi
....Wanaenda kufanya nini hao wa kwenye Red?..Maana mh!!
 
Je ikithibitika alikuwa ametoka kuzini ni haki kwa viongozi wa dini kumzika kwa heshima zote?
 
Back
Top Bottom