NABAKI AFRIKA ni matapeli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NABAKI AFRIKA ni matapeli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masopakyindi, Oct 14, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Nimefuatilia kwa muda mrefu hawa jamaa wa Nabaki Afrika na kugundua kuwa wanatumia ujanja ujanja katika biashara zao.

  Pale GAME Mlimani city kwenye shelf la vifaa vya kuogelea, hasa madawa, yanakombwa YOTE na NABAKI AFRIKA kila madawa hayo yanapofika na kuwekwa kwenye shelf.

  Ukienda pale Nabaki Afrika madawa hayo hayo yanauzwa kwa mwendo wa kuruka, na wanadai wameagiza wao toka SAfrika, lakini si weli.

  Kuna vifaa vingi tu vinavyokombwa pale GAME na kuwekwa kwenye duka lao pale Mikocheni Coca Cola.
  Hii ni hoarding na ni unfair kwa customers wengine wanao nunua vifaa hivi kwa matumizi binafsi.

  Nina uhakika na ninachosema kwa vile nimeulizia wafanyakazi pale GAME na wameniambia anakuja mzungu mmoja, tena kwa fujo, na anchukua madawa yote, kuyalipia na kondoka nayo kuweka dukani kwake.

  Huyo mtu nimeambiwa anaitwa HAMISH.

  GAME chukueni tahdhari na mchezo huu ambao si mwenendo mzuri kibiashar
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mwendo wa kuruka ndo nini mkuu?? Sijakusoma

   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Hiked prices mkuu, expression ya siku nyingi miaka ya 80 wakati wa ulanguzi!
   
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Hiked prices, ngoja nkatafute dictionary.
   
 5. h

  hamsinij JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo bado kinda
   
 6. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Hike kwa maelezo ya Oxford English Dictionary maana yake ni: A steep increase in prices.
   
 7. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Andikeni kwa kiswahili enyi watanzania. Sio kila mtu anawaelewa na hiked prices zenu
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Tabia ya uvivu ni mbaya sana, hasa uvivu wa kufikiri.

  Kama umeweza ku-log in kwenye computer yako na ukaingia mtandaoni, mimi sielewi kwa nini inakuwa vigumu ku google hilo neno "hike" kwenye on line dictionary.

  Uvivu kwa watanzania ni ugonjwa mbaya zaidi, hasa wa kufikiri.

  Na ndio maana nampo pongezi mtoa mada kwa kutufungua macho badala ya kubishania uelewa wa mtu.

  Kwa kifupi Nabaki Afrika ndo wanawatufuta watu kama mtoa posti hii.
   
 9. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kama unaweza kupata same product kwa bei nafuu hapo Game, endelea kununua hapo Game

  Mimi ninaendelea na products zao maana vigae tu ni 50yr guarantee,
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Be. Careful na hao jamaa wa Nabaki Afrika, hawana ujuzi wowote katika masuala ya ujenzi, nimemfanyia due diligence huyo Hamish, ni mwanasheria!

  Hata hivyo lalamiko langu ni wao kutengeneza virtual scarcity kwenye products fulani na kufanya hoarding, halafu wanapaisha bei wakiisha iondoa kwenye market- an economic crime.
   
 11. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwani hilo neno 'hike' halipo katika msamiati wa Kiswahili? Tuache kujikosha
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  JF ni pamoja na kupanua uelewa wako wa vitu mbali mbali pamoja na lugha.
  Ukiamua kubaki uchochoroni huo ni uamuzi wako.
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Watoto wadogo utawajua tu!
   
 14. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu.
   
 15. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yani hii nchi kila sehemu watu wanapenda short-cut sana
   
 16. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,653
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Mkuu, bora ungeweka comprehensive list ya kila bidhaa unazotuhumu pamoja na manufacturer/brand/model/ ili ikiwezekana wahusika washughulike.
   
 17. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Si anakuja MZUNGU anakomba madawa yote, kuna tatizo gani yeye kaona fursa wewe umeona nn?
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  NABAKI AFRIKA hawajawahi kuniangusha kwa vitu nilivyonunua pale (japo sinunui mara kwa mara). kwahili unalosema wewe ni jipya kwangu. mmh!!
   
 19. by default

  by default JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nawewe acha umang'aaa soma kwa uelewa! Nabaki anaenda kununua product GAME yeye anaenda kuziweka ofsini kwake anauza kwa bei zaid ata ya mara mbil na kulaghai wateja wake ametoa bidhaa SA
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ile Ofisi yao pale kwa mwalimu ndio wameamishia coca cola au zipo mbili njia moja?
   
Loading...