Moat, jukwaa la wahariri kama hawatakuwa makini. Wataliangamiza taifa kwa udini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moat, jukwaa la wahariri kama hawatakuwa makini. Wataliangamiza taifa kwa udini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Oct 21, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana nilikuwa naangalia star tv katika kipindi cha jicho la habari kwakeli Udini uliowajaa wale waandishi habari watz wanaweza kuliangalimiza taifa.
  Licha ya wote kuwa washiriki ni waandishi wa habari lakini walioenakana kama ni wachungaji, mapadri ambapo na hawakushiriki kama waandishi wa habari.
  Lakini hebu tuwe wakweli. magazeti kama Nipashe, jamboleo, habari leo na gazeti la Uhuru yanavyoandika habari ya waislam yaani utadhani kama magazeti ya KIONGOZI au gazeti la MSEMAKWELI.
  tukiangalia hata habari ya Imam Faridi hadi inavyoripotiwa utekwaji hadi kuoenakana yaani sawa na zile habari za maskani za CCM na sio za wanahabari
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ulitakaje. Au ulitaka waseme wakristo wamechoma moto misikiti!
   
 3. h

  hamsinij JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Makafiri na manaswara wanajali dunia kuliko mungu. Hawa walimshabikia sana babu wa loliondo, mwishoe vifo vingapi? Magazeti ya udaku tu ndio yalilipoti
   
Loading...