Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

Mwitongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2009
Posts
312
Reaction score
362
uamsho pix.JPG
Sheikh Farid (wa pili kutoka kushoto) ndiye kiongozi wa Uamsho anayeifanya Zanzibar na Tanzania kwa jumla isipate usingizi.


uamsho_625.jpg

SHEIKH FARIDI
Written by ali a mohamed // 19/10/2012 // Habari // 4 Comments


Asala aleykum mimi naona hawa Usalama wa Taifa kidogo wapelekwe tena shule
wakasome zaidi maana hawajui wanalofanya. Huu mchezo wa kuiga kwa hawa ndugu
zao wa bara kwa kufanya kitendo cha kumteka nyara kama walivyofanya kwa Dk Usumbuko huyu Sheikh Farid ni kitendo cha kuiga na kila mtu anajuwa
Hawa nia yao ni kumsimamisha huyu Sheikh Farid kutokana na msimamo wake pammoja na wananchi wa Zanzibar kuhusu Mungano na kwa maoni yangu wameshtuka sanana hili kongamano la mwisho la kutaka Zanzibar kuwa huru hivyo nia yao ni kwa kuwa huyu ndio kinara basi ni wammalize
Sasa kama ni watu waliosoma sio ambao wamepewa ajira kutokana na ukereketwa wao kwa chama wangelikuwa na njia nzuri sana za kummaliza huyu Sheikh Farid bila ya mtu au wafuasi wake kujuwa na wangelihisi ni kifo cha kawaida tu
Kwani wameshindwa kutumia njia ya sumu kwa kumtilia kwenye chakula au njia wanazotumia KGB za kukumaliza kwa sumu aina za polonia10 na nyengine?
Wangelifikiria njia hizo wangemmaliza bila ya fujo hapa kisiwani leo Lakini jinsi ya ukosefu wa elimu na nini kutokujuwa wanalolifanya leo haya ndio matokeo yake ya vurugu
Elimu ni muhimu nyie usalama bila yakusoma mtajulikana siku zote nini mnalofanya na kama hamuwezi kusoma basi jitahidini japo kuiga
NIACHENI NIPUMUWE
 
View attachment 68459 Sheikh Farid (wa pili kutoka kushoto) ndiye kiongozi wa Uamsho anayeifanya Zanzibar na Tanzania kwa jumla isipate usingizi.

Kumuendekeza tu, udhaifu wa serikali yetu! Huyu JKN angelimuweka kizuizini akakoma. Amuulize Tuntemeke na yule jamaa aliyesema serikali nimeiweka mfukoni. alitolewa na Askofu makarios baada ya kumpigia magoti JKN
 
Hawa ndugu zetu waislam hata tukisema tuwaachie nchi waishi wenyewe, bado wataanzisha mzozo kama ilivyo Somalia.Watajitokeza watu waanze kudai wanataka waislamu wote wafuate dhehebu la washia.Halafu hawa usalama wa Taifa sijui wako wapi!!.Ama kazi yao ni kuwashughulikia wanasiasa wa upinzani Tu?. Maana hii redio Imani pamoja na Ponda wao maneno wanayoongeaga ni hatari sana kwa Amani ya nchi yetu. ni uchochezi mtupu!1. Hii hali ikiendelea nadhani yatakuja kutokea maafa makubwa sana huko mbeleni. Maana hata sisi wakristu uvumilivu utatushinda
 
huyu si mwarabu kabisa? Enyi waislam wapenda amani msikubali kutumiwa na hawa makuwadi wa imani haba
 
Kumuendekeza tu, udhaifu wa serikali yetu! Huyu JKN angelimuweka kizuizini akakoma. Amuulize Tuntemeke na yule jamaa aliyesema serikali nimeiweka mfukoni. alitolewa na Askofu makarios baada ya kumpigia magoti JKN

Kumbe nyerere alikuwa anasamehe mafisadi baada ya kuombwa na maaskofu?
 
Nimesikia amepotea katika mazingira ya kutatanisha jana hadi leo hajapatikana... wafuasi wake wameleta madhara sana kuchoma office za ccm na bar za unguja
 
hakuwa fisadi alikuwa na jeuri ya pesa. alikoma. tafuta story uielewe

swali ni je, alisamehewa kwa ombi la askofu.
Nyerere mwenyewe alikiri hilo bila ya kificho.
Huo ndio utawala wa sheria?
Inamaana nyerere aliwaheshimu maaskofu kuliko katiba ya nchi.
Utabisha nitakapo sema kuwa alitii kila walicho muagiza?

Huyo ndio mnaemuita baba wa taifa kwa kupendelea raia anao waongoza?
 
swali ni je, alisamehewa kwa ombi la askofu.
Nyerere mwenyewe alikiri hilo bila ya kificho.
Huo ndio utawala wa sheria?
Inamaana nyerere aliwaheshimu maaskofu kuliko katiba ya nchi.
Utabisha nitakapo sema kuwa alitii kila walicho muagiza?

Huyo ndio mnaemuita baba wa taifa kwa kupendelea raia anao waongoza?

Hujafanya homework niliyokwambia. fanya h/w
 
rekebisha kauli.... mimi nalala vizuri tu
 
Back
Top Bottom