Quran kukojolewa na kupotea kwa Fareed kipi kilianza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Quran kukojolewa na kupotea kwa Fareed kipi kilianza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Truly, Oct 20, 2012.

 1. T

  Truly JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hizi vurugu, kuna zaidi ya tunavyojua. Naungana na wanaohisi ishu ni ya kupanga. Hivi hiyo Quran iliyokojolewa iliwasilishwa watu wakaona! Nawapongeza wakristo kwa uvumilivu wao maana wangechoma msikiti vita ingeshawaka long time
   
 2. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa ni muhimu serikali ichukue hatua kali kwa wote wanaohusika ni haya matukio ambayo hakuna ubishi kwamba yote yamepangwa. Serikali iwashughulikie wahuni hawa vinginevyo hakitaeleweka
   
Loading...