Kubenea /Mwanahalisi : We Miss you

geophysics

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
904
166
Wana jamvi...si utani ninamiss Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi...sijui atafunguliwa lini.... Kama kuna mtu yupo karibu na waziri ampelekee ujumbe kuwa kuwa Wa TZ wanashindwa kuendelea na maisha yao kwa sababu ya kotosikia au kupata habari za gazeti hili
 
Umewah msemea baba anayoyafanya mkiwa naye bar? Trip ilofatia alikuruhusu tena mwende wote bar? Jibu unalo!
 
Yaani hilo gazeti kulifungulia ni mpaka GAZETI lenyewe waombe msamaha kwa ikulu. pumbaf wewe msamaha, adui WAKUTETEA HAKI!!
 
Back
Top Bottom