Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini zenu wanajamvi, Nimekuwa nikifuatilia Post kadhaa bila kuchangia huku nikijiuliza maswali mengi sana, Watanzania wengi si wakristo si waislamu wameonekana kutamani mno vita yaani mno. Si...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo ni siku ya tatu DAWASCO wakiwa hawajafika kuziba bomba hili la maji katika eneo la Luguruni Stendi (Makondeko. Maji yanamwagika usiku na mchana, hakuna hatua zozote za kuziba bomba hili wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amewahasa waislamu wanaotaka kuandamana leo kwenda ikulu wasifanye hivyo. source:ea radio(Zembwela)
0 Reactions
52 Replies
5K Views
kuna mtu amenipa taarifa kuwa kanisa la moja Anglican huko Unguja limechomwa mchana huu. Anayeweza kupata maelezo zaidi atujulishe.
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Taarifa za kiintelijensia zinaonyesha baada ya kutawanywa na polisi, vikundi vya watu wanaofanya vurugu wamedhamiria kuchoma makanisa na kudhuru leo usiku. Kwa mantiki hiyo naomba kuwashauri...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Polisi wamefunga barabara ya hapa Posta Mpya na daladala zinageuza hazitumii tena kituo cha kawaida. Hali inaonekana si shwari, wanajeshi wametanda! Taharuki inazidi kuongezeka kwa raia PICHA...
7 Reactions
51 Replies
8K Views
Inaelekea serikali inataka kuwachanganya watu ktk hili swala zima ukisoma hati ya mashitaka aliyofunguliwa Ponda hakuna issue ya yeye kuhusika na kuchoma kanisa wala hakuna aliyefunguliwa kosa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF,nachukua fursa hii kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kuzuia uvunjifu wa amani leo ktk jiji la DAR. Mgambo wamefanya kazi kubwa sana,wamegawa dozi ya kufa mtu! big up mgambo.FFU ndio...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu...
3 Reactions
95 Replies
8K Views
Ni kutokana na ugonjwa wa ebola kwenye nchi hizo. Source : AL jazeer
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye jibu linapatikana leo hii mahakamani Uamuzi ndoa ya Dk Slaa leo Send to a friend Thursday, 18 October 2012 22:50 James Magai HATIMA ya ndoa ya Katibu Mkuu wa Chama...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Twende garini..... Akaaaa sio mimi jamaniiiiiii, Babu (kulia} akijitetea... Watuhumiwa wakipandishwa garini.... Watuhumiwa wakipandishwa garini.... Watuhumiwa wakipandishwa garini...
8 Reactions
29 Replies
11K Views
Kinachoendelea nchini Tanzania ambapo vurugu zimeishatokea kinaelezewa kama vurugu za kidini. Je ni kweli ni chuki za kidini au kukata tamaa kwa watu wetu? Nimejaribu kujihoji na kuhoji mantiki ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
HII NI ZAIDI YA TUPO WANGAPI :- Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email: "Mama nina UKIMWI" Mama yake akajibu: Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :- Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni tumeshuhudia upepo mbaya wa mahusiano ya kidini kufuatia kukojolewa kwa msahafu wa waislamu na kisha kuchomwa moto makanisa na mali zingine kuharibiwa.Kilichofuatia baada ya tukio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imekuwa ni dhahiri na ni wazi kabisa kuwa sasa Waislamu wanafanya wanalotaka tena kwa kujiamini kabisa. Hili limeonekana kuanzia harakati za Uamsho znz, Kugomea sensa, kuchoma makanisa nk. Ni...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Vurugu kariakoo.. Ni habari za kweli mi niko ofisini ila kuna mtu ana spouse wake kampigia simu kuwa hali si shwari, mabumu na vya moto tinatembea huko! Mungu atuepushe na nguvu za shetani hizi...
20 Reactions
756 Replies
74K Views
msema kweli ni mpenzi wa mungu kusema leo channel ten.....wanastaili kupewa pongezi kwa kuonyesha matukio haya yafuatayo.......kwa siku ya leo 1.vurugu za mapambano vyombo vya ulinzi na kupigwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waraka huu ni hatari tena unaonyesha wazi hawa ndugu zetu wameamua kuucha mziki huu uliopigwa sana 2010 na CCM,walitaadharishwa juu ya maneno yao leo wanahangaika kuuzima huu muziki...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom