Amri ya TATU itakuwa ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amri ya TATU itakuwa ipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpitagwa, Oct 20, 2012.

 1. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Amri ya kwanza, Watu: Tunaamuru ndugu zetu walioshikiriwa katika vituo mbalimbali vya police kwa kosa la kutoshiriki zoezi la sensa ya watu na makazi tunataka waachiliwe mara moja na tena bila masharti yeyote?

  Government: Igweeeeeeeeeeeeeeeeee

  Amri ya pili, watu: Tunataka Shekh Fareed ambaye haonekani awe anaonekana ndani ya masaa 26 na asipoonekana mtatutambua

  Government: Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  Amri ya tatu, watu: Tunaamuru..............................

  Government: Ig.............

  Tutafika?
   
 2. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  3. Tunataka uhuru wa zanzbar yenye kujitegemea katika nyanja zote. Serikai Igweeee
   
Loading...