TBC yadai uchaguzi wa UWT ulikua wa amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC yadai uchaguzi wa UWT ulikua wa amani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Access Denied, Oct 20, 2012.

 1. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  TBC wamepotesha umma kwa kutangaza kua uchaguzi wa UWT ulikua wa amani ile hali ITV na StarTV wakiripoti vurugu na malambano makubwa kati ya wagombea hao. Kwa mwendo huu wa upoteshaji na kuendelea kukumbatia mapungufu ya ccm ni kuendelea kupoteza sifa na uwezo wa kutoa taarifa za kweli kwa jamii ikiwa kama chombo cha habari cha taifa.
   
 2. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  hiyo tv bado ipo tu? mm toka TIDO wamfukuze nikaacha kuingalia na nimetoa onyo kwa familia yangu nikikuta mtu ametune TBCccm anakula BAN
   
 3. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,439
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  We mpaka leo unatazama hiyo
   
 4. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kwa mtazamo wao labda zile vurugu ndio amani
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  hata kama ndo kufunika kombe hawa wamezidi jamani heee!!
   
 6. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,364
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Penye ukweli uongo hujitenga,tbccm aibu yao wenyewe.
   
 7. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tbc imekuwa chombo cha propaganda za ccm kwa gharama za walipa kodi wa vyama vyote na wasio na vyama.
   
 8. Heavy equipment

  Heavy equipment JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 939
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Usipoteze muda kusikiliza tbccm
   
 9. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Basi PINDA akiziona habari za TIBI ccm anafurahi sana hadi anamsahau mke wake!!!
   
Loading...