Tuendelee tu na unafiki wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuendelee tu na unafiki wetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, Oct 20, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Waböngo kwa doublestandardshatufai.
  Polisi wakiwabonda CHADEMA kwa kukiuka amri halali wanakuwa wavunjifu wa haki za binadamu na wanaonekana wako juu ya sheria. Yaliyomkuta boko na mamba yamemkuta, leo kila mbongo mkristo anawasifu polisi kwa kuwadhibiti mujahedeen.
  Tuendeleeni tu na uzandiki, ila jueni kuwa hawa mapolisi hawana undugu ofisini, unyama niliouona kideoni sio wa kushabikia hata kidogo...
   
 2. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Vitu viwili tofauti, CDM hawakupiga mtu wala kuharibu mali ya mtu yeyote, pia walikuwa na kibali mkononi cha kuruhusiwa kuandamana. Isitoshe CDM walipokusanyika hawakuwa na siraha au dalili za kufanya fujo, walikusanyika wakilenga lengo la mkusanyiko. Sasa waisilamu kibali/taarifa ya maandamano hawajatoa, wanaandamana kwa kufunga barabara kwa mawe na kuchoma matairi, siraha za kujihami mkonono(visu na mawe), maneno ya kushiria shari. isitoshe hapo kabla walishachoma makanisa nakuharibu mali za makanisa kadhaa huku wakiiba sadaka kwa njaa zao.

  Huwezi ukalinganisha majambo haya hata kidogo
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  jina lako tosha kabisa na mawazo yako

  chadema walichoma cha mtu?? au kuvamia raia wasio na idea yoyote ya vurugu??

  una bahati sana leo sijanywa
   
 4. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Wacha watiwe bakora na kazi ngumu gerezani kwa miezi sita, yaani madokta wamegoma na kero za umeme wamekaa kama picha za ukutani. Ila mshenzi Ponda wamemkamata kumuhoji wanaandamana...........hawawote wapelekwe wakafanye kazi ngumu kidogo.
   
 5. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Mkuu hawa jamaa si unaona mwenyewe damage wanafanya CDM hakuna kitu kama hicho!
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  sikujua bongo kuna 'mujahideen'?! lol, wamatumbi kwa kujipendekeza na tamaduni za wengine hamjambo! seriously, kuigaiga kutawatokea puani, basically sijaelewa kwanini polisi hawajutumia risasi za moto, i think these 'mujahideen' fully deserved it.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Chadema hawakuharibu mali ya mtu wala.kuchoma moto kitu cha mtu, sio muislamu wala.mpagani.wala mkristo. Kama unafanya lolote, usiguse cha mtu hapo polisi wakikushughulikia tutapiga kelele. Hata freemasson,ukikiuka taratibu wanakutweza.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Afu na wewe huyo kwenye avatar utamcharaza hadi lini? Mbona huna huruma jamani, hata kama ni spanking hii too much.
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,218
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  Mbona povu linakutoka sana...?
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  he he..wishes zake are my commands..si unaona nikishamaliza mjeledi mmoja napewa mineno mingine ya kimahabat ya kunihamasisha niendelee? mwe !
   
 11. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanangu Mphamvu umenena. Haki za binadamu zinapaswa kufaidiwa na wote bila kujali kama ni wahalifu au washukiwa. Presumption of innocence is the domain of everybody. Ni bahati mbaya kuwa tumewaonyesha polisi udhaifu wetu kuwa hatutendi haki hadi tuwe wanufaika. Mwanangu inasikitisha ingawa ukiangalia kwa makini hakuna wa kulaumu wala kuhurumia. Serikali inavunja haki za binadamu sawa na watu wanavyovunja na kutaka kudhulumu haki za wenzao. Kwa mfano kuchoma makanisa na kukojolea korani vinaingiliana vipi? You have made a very strong case boy.
   
 12. B

  Buluki Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uongo wewe ndo nyie wanafiki wenyewe mnapotosha jamii..kule morogoro wchadema alivyopigwa mabom walikua na kibali?walipewa kibali cha mkutano wao wakafanya maandamano,kwahiyo umeona hawa polisi ni wehu wawape kibali halaf wakawapige mabomu??
   
 13. B

  Bijou JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Muislamu utamjua KWA Maneno na matendo yake!!!!! Hutawaliwa na hisia zaidi KULIKo uhalisia!!!! Tehe tehe tehe!!!!
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Sawa shemasi
   
 15. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  aisee we acha tu,

  Mwalimu wao ni kipofu........ anawapeleka shimoni.
   
 16. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Endeleeni na fujo zenu muone kama hamjabaki kuwa ombaomba wa madukani na mabarabarani baada ya kuvunjwa miguu na kubaki viwete. Mnafanya upuuzi mnadhani tutawaacha. CDM walikuwa wanapewa vibali kisha polisi wanatangaza kubatilisha uhalali wa vibali walivyopewa na sio kama unavyosema wewe
   
Loading...