Latest: Sofia simba ambwaga anna kilango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Latest: Sofia simba ambwaga anna kilango

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simba Mkali, Oct 20, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Spesho kwa wale wa Magamba ni kwamba, taarifa nilizozipata kutoka Dodoma ni kwamba Sofia Simba amembwaga Anna Kilango Malecela katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa UWT.
   
 2. B

  BARCA ON Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  toa tarifa sahih kamshinda kwa kura ngapi pamoja na mwenendo mzima wa uchaguzi
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ulikuwa ni mpambano kati ya Lowassa na Membe. Sofia Simba ni mfuasi mwaminifu wa Lowassa wakati Anna Kilango alikuwa anafadhiliwa na Membe. Kwa kifupi Lowassa ameshinda.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  asante kwa hadidu za rejea.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Heri kapigwa chini,mama makelele mengi bila busara!
   
 7. C

  Concrete JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Taarifa mbona haijakamilika kabisa, kwa mfano
  1/Idadi ya kura?
  2/Matukio ya fujo?
  3/Mtindo wa kutoa rushwa uliotumika?
  4/Maoni ya washindani?
  5/Fitna zilizotumika?
   
 8. d

  delako JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2,000
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Title ungeandika kwa magamba pekee!!!!
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,619
  Trophy Points: 280
  Mkuu Matola, Huu ndio ulikuwa msimamo wangu kuhusu Uchaguzi wa UWT kwenye uzi wangu huu
  Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili!
  Uchaguzi umemalizika matokeo yametoka!, ubatili umeshinda!. Sasa tuendelee na mengine huku tukisubiria yatokanayo!.
   
 10. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Taarifa imetosha siye siyo ma analyst, nenda ofisi ndogo Lumumba.
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Mbona wanasema UCHAGUZI haukuwa salama?
   
 12. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  kichefu chefu tu!!
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Pasco my brother, you give the man (Lowassa) too much credit, remove the lukewarm custard and replace it with maggots attacking a few hundred cockroach.

  I am surprised at the emotion I feel reading your statement. If only... things could have been so different, things can be so different... If only. Now, more than ever I feel only intense dislike for the CCM because of how untrue and disloyal they have been to the very people who put them in power
  , the people who idolise them. ( I know they didn't not win 2010, they stole vote ).

  The CCM actions thus far has been akin to a mother or father prostituting a child who looks to them for guidance and assistance. How sad!


  Pasco CCM is losing the support, people like me who realise that sitting idle while this country goes to the dogs ( CCM ) is perhaps too high a price to pay for loyalty like you to the man ( Lowassa ).

  Pasco, a real patriot puts the country ahead of everything, political preference and even personal conviction. No matter how painful that is.

  The fact is, the CCM leadership are enriching themselves and we Tanzanian we need to kick them this dogs out of our country before we become Banana Rep.


   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,619
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzalendo80, nimeweka maslahi ya taifa mbele!, hivi wewe huutaki ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania?. Nitajie ni nani anaeweza kutupatia ukombozi huo kama sio EL au Membe?.
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama huu ni Umoja wa Wanawake Tanzania tukumbuke UWT kilianzishwa kwenye mfumo wa chama kimoja lakini hadi leo inaitwa umoja wa wanawake Tanzania.....najiuliza huu ndio umoja unaowawakilisha wanawake wote wa Tanzania? Vipi kuhusu wanwake wa vyama vingine kama Chadema, CUF nk? Kwanini isiwe Umoja Wa Wanawake wa CCM Tanzania? CCM waache kupotosha umma. Hii ni UWTCCM.
   
 16. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Like interesting well written Pasco, Vote for those corrupt from CCM is like shoting for yourself.

  Ha ha ha don't make me laugh Pasco.

  Actually what is really concerning is that we have people
  ( Like you Pasco ) that vote for these uneducated CCM i d i o t s . Corrupt and criminal. That is the REAL threat to this country....too many i d i o t s that have a right to decide who's hands the country's future should be put into. It's almost like we've given a bunch of 3 year olds kids the right to vote.

  Pasco you have lost your sense of humour and do not even comprehend.   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimeona kwa news mama Simba alitaka kuzichapa na Shyrose ikatokea fracas ya kufa mtu mpaka shy akatolewa nje
   
Loading...