Brigedia Mstafu (Haruna Rashid Othman) atajwa kwenye Kundi la Uamusha ZnZ!!!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Brigedia Haruna Rashid Othman ambaye ni mfuasi wa CUF ametajwa Kujihusisha na kundi la UAMUSHO na ametajwa kufanya mkakati wa Kuliimalisha kundi hilo ZNZ na Bara.

Hivi Karibuni Brigedia Othman amepindua utawala wa Umoja wa Wanajeshi Wastafu (MUWAWATA) kwa kile kilichotajwa kuwa kiongozi aliyepo madarakani anatumiwa na CHADEMA!!!

Hata hivyo mapinduzi hayo yamepingwa na wanachama wa ummoja huo ambapo wametaka Mkutano Mkuu wa Chama chao uitishwe kikatiba na si kufanya mapinduzi ya kijeshi!!!.

Wanajeshi Wastafu wamekanusha mapinduzi hayo kupitia gzt la NIPASHE LEO pg 2
 
Wanajeshi wa Bara mlikostaafu na ambao ni washabiki wa Chadema mmesikia hayo?
 
Kama UAMSHO ni kundi halali na limesajiliwa na SMZ, kujiunga nalo kuna tatizo gani?
 
hivi uamsho siwaende kwa John Tendwa wakasajili hicho kikundi chao kama chama cha kisiasa kuliko kuendelea kujificha chini ya mwamvuli wa kidini wakati wanafanya shughuli zinazopaswa kufanywa na chama cha siasa.
 
Umoja wa vyama au umoja wa wanajeshi wastaafu... kazi yao nini haswa? au na wao wanadeal na Siasa
 
Back
Top Bottom