Raisi na kikumbusha cha kuteremsha vyandarua, saa 3 usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi na kikumbusha cha kuteremsha vyandarua, saa 3 usiku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makene, Oct 20, 2012.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa hakika tangazo lile lingekuwa na mashiko iwapo yeye presida angeonekana katika mazingira ya utayari wa kwenda kulala,

  Iwapo angeonekana amevalia pyjama au kanga ingekuwa nzuri zaidi, sasa wanapomuona sebuleni kwenye kochi amevaa suti inakuwa kama anafanya utani tu.
   
Loading...