WAKILI WA PONDA - Brother Juma Nassoro AWAUSIA WAISLAM

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Asalaam Alaykum!

Saa 4 asubuhi nilifika Central Police kusimamia mahojiano yake na Polisi kwa mujibu wa haki za mtuhumiwa nilionana na msaidizi wa ZCO daada ya utambulisho na kumfahamisha haki zake wakati wa mahojiano alihojiwa. Ukiacha namna alivyokamatwa mpaka naondoka polisi saa 10 kasoro alikuwa ktk hali nzuri na polisi akiwa kituoni hawakumfanyia lolote lililokinyume na haki za mtu aliyechini ya ulinzi.

Sheikh anatuhumiwa na mambo yafuatayo:-

1. Kuhamasisha maandamano kwenda Wizara ya Mambo ya Ndani. Wakati wa mahojiano walitaka kujua yafuatayo:-

i. Kwanini waliandamana

ii. Nani aliandaa mabango

iii.Kanini walisema kuwa baada ya maandamano yale wataenda kumng'oa Mufti na Ndalichako
iv. Nani aliandaa maandamano

Sheikh alikiri kuhamasisha maandamano na pia alikubali ujumbe uliuokuwa katika mabango ulikuwa umebeba hisia za waislamu. Isipokuwa yeye hajui nani aliyaandika hayo mabango. Kuhusu Mufti na Ndalichako alisema wanastahili kuondolewa kwasababu ya kuongoza kwa dhulma dhidi ya waislamu. Pia alisema maandamano yaliandaliwa na Taasisi na Jumuiya za Kiislamu na yeye ni katibu wake.

2. Kuvamia kiwanja cha chang'ombe

Hapa alijibu kuwa huo ni mgogoro wa ardhi na waislamu wapo pale kwasababu ni kiwanja cha waislamu. Na kama kuna mtu anadai amevamiwa eneo lake huo ni mgogoro wa ardhi aende kushitaki mahakama ya ardhi na waislamu wapo tayari kufika mahakamani kujibu. Pia alikiri kuwa amehusika ktk ujenzi wa msikiti unaojengwa ktk eneo hilo.

3. Kuhamasisha maandamano kidongo chekundu

4. Vurugu mbagala.

Haya mawili ya mwisho hakuhojiwa kwasababu mafaili yanayohusu malalamiko hayo yalikuwa hayajafika central lakini vilevile muda ulikuwa umeenda sana. Kwani mpaka tunamaliza mahojiano ilikuwa ni saa kumi kasoro hivi toka saa nne asubuhi.

DHAMANA.

Baada ya mahojiano niliomba apatiwe dhamana na kesho afike polisi kwa mahojiano zaidi. Polisi waliokuwa wanamhoji walikataa kwa hoja kuwa suala hilo liko kwa viongozi wakuu wa jeshi la polisi. Waliomba nikamwone ZCO Bw. Msangi, yeye alisema hawezi kulitolea maamuzi akanitaka nimwone Kamanda Kova. Nilienda kuonana na Kamanda Kova naye aliniambia kuwa hawawezi kutoa dhamana mpaka amalize mahojiano yaliyobaki. Na vile vile alisema wanasubiri wapate ushauri toka ofisi ya DPP.

Lakini zaidi akasema kwa kuwa issue ya mbagala kuna watu wameshitakiwa kwa armed robbery kosa ambalo halina dhamana si vizuri kumpa dhamana sasa kwani huenda katika upelelezi wao wanaweza kumuunganisha na washitakiwa wa armed robbery mbagala. Kwa ufupi hiyo ndio hali iliyokuwepo.

NAOMBA WAISLAMU WAAMBIWE WAWE NA SUBIRA WAKATI HUU WASIFANYE LOLOTE LITAKALOWAPA NAFASI MAADUI WA UISLAMU MANENO YA KUSEMA

Maasalamu!

By Brother Juma Nassoro - Wakili

SOURCE; BONGO YETU

Splendid... Wakili anafaa huyu; Yuko PEACEFUL kwahiyo SHEIKH PONDA atapata Dhamana...
 
Kinachomsaidia ni shule huyu..waislamu wanaofanya fujo ni wale wahuni, wasiosoma, majambazi na wezi.
 
Kinachomsaidia ni shule huyu..waislamu wanaofanya fujo ni wale wahuni, wasiosoma, majambazi na wezi.

Lakini, sio wote ni Wahuni, Wasiosoma, Majambazi na Wezi; Wengine ni Hali ya UCHUMI Imewafanya wajiunge na hayo Maandamano kumbuka Wengi wao walitokea MISIKITINI sasa kama MWIZI kweli anakwenda MSIKITINI Moja kwa Moja Kufanya fujo hilo ni Suala Lingine basi...

Lakini, Kweli kama nchi inaonekana ni tajiri na sasa hivi walionacho na wasio nacho inaongezeka kuwa kubwa, lazima walio chini watakwenda MITAANI kulalamikia HALI ya MAISHA yao na wengi watasikiliza CHOCHOTE kiongozi anachosema hata kama huyo KIONGOZi sio MLALA hoi Kama hao Wananchi, ila tu anaongea LUGHA MOJA na walalahoi...
 
wakili kafunguka vizuri, adui wa uislam ni Ponda mwenyewe hivyo ndugu waislam wa kweli, tulieni kama mlivyotulia leo baada ya swala . kwani hiyo armed robbery itamkomba labda awakane wafuasi wake ambao tayari wako gerezani. sasa wale kimbelembele ndo wataona jinsi watakavyo achwa solemba na kafir POnda. sheikh mkuu mufti shaaban bin simba alishaongea kuwa PONDA hana elimu dunia wala akhera.
 
Kinachomsaidia ni shule huyu..waislamu wanaofanya fujo ni wale wahuni, wasiosoma, majambazi na wezi.

Pamoja kuwa Waislam hawakusoma au niwahuni kama unavyodai, hawawezi kukojolea bibilia kwani wanaheshimu dini za watu na niwa staarabu,, kama nyie mesoma nadhani hamjaelimika...
 
Pamoja kuwa Waislam hawakusoma au niwahuni kama unavyodai, hawawezi kukojolea bibilia kwani wanaheshimu dini za watu na niwa staarabu,, kama nyie mesoma nadhani hamjaelimika...

ni kweli ni wastaarabu ndio maana wana sema Yesu si mwana wa Mungu wakati aya hizo hazipo kwenye vitabu vyao, ni wastaarabu ndio maana wa choma makanisa ili wao wapate wafuasi zaidi
 
Pamoja kuwa Waislam hawakusoma au niwahuni kama unavyodai, hawawezi kukojolea bibilia kwani wanaheshimu dini za watu na niwa staarabu,, kama nyie mesoma nadhani hamjaelimika...

ingekua kweli wasingekuwa wanafanya mihadhara ya kukashifu ukristu.
umeandika uwongo mweupeeeee.
 
Hivi unaweza ukasimama hadharani na kusema waisilamu ni wastaarabu? Nani atakuelewa? Hata wenyewe wanajijua kuwa sio wastaarabu
 
Hakika najivunia kuwa mwislamu bado Ponda mpaka atoke tukimaliza hapo tutajua who is next.Nyie pigeni kelele lakini mziki wake mmeuona wenyewe yule mtoto labda aame nchi
 
Hakika najivunia kuwa mwislamu bado Ponda mpaka atoke tukimaliza hapo tutajua who is next.Nyie pigeni kelele lakini mziki wake mmeuona wenyewe yule mtoto labda aame nchi

yaani unasujudia ubabe? ahera haitafutwi kwa nguvu au ujambazi, bali ni maisha yako ya kila siku na kusali.
 
Kweli kabisa mkuu na wala haipatikani kwa kukojolea vitabu vya dini nyingine
yaani unasujudia ubabe? ahera haitafutwi kwa nguvu au ujambazi, bali ni maisha yako ya kila siku na kusali.
 
Pamoja kuwa Waislam hawakusoma au niwahuni kama unavyodai, hawawezi kukojolea bibilia kwani wanaheshimu dini za watu na niwa staarabu,, kama nyie mesoma nadhani hamjaelimika...

hivi kukojolea quran na kuchoma kanisa kipi bora!!!!?
 
Ndo hapo hata mimi najiuliza kwanini tusiheshimiane tuishi kwa upendo wewe unaoana nani chanzo mkuu lakini.
Kosa alilofanya mtoto unawahukumia watu wazima?
Je kosa walilofanya watu wazima la kuchoma nyumba za ibada tumsukumie nani?
 
Pamoja kuwa Waislam hawakusoma au niwahuni kama unavyodai, hawawezi kukojolea bibilia kwani wanaheshimu dini za watu na niwa staarabu,, kama nyie mesoma nadhani hamjaelimika...
Mbona wamekunywa divai na kuchana chana Bibilia Mbagala?
 
Kinachomsaidia ni shule huyu..waislamu wanaofanya fujo ni wale wahuni, wasiosoma, majambazi na wezi.

na wanavyopenda najsi hawa, ni balaa, si uliona juzi pale Zaznibar, walikwiba pombe zote, na hata kule mwebechai walikwiba nyama yote ya nguruwe wakaenda kutafuna , wevi wakubwa hawa.
 
Kinachomsaidia ni shule huyu..waislamu wanaofanya fujo ni wale wahuni, wasiosoma, majambazi na wezi.
naomba uhifadh hii kauli yako,,,usiinyofoe,,,,ili usije kuikana,,,,,
ila nakuuliza tu wakristu wote wamesoma??,hakuna wezi?,hakuna majambaz,hakuna wahuni????
Ukishindwa kuwataja niambie nikutajie public figures za wakristo wenye sifa hizo,,,,,nikianza na mapadri wanaowakaza WATOTO
 
Back
Top Bottom