NCHI INAHUJUMIWA NA MAJAMBAZI KUTOKA BURUNDI: WENYEWE TUMELALA!!!
[*=left] WANA-VIJIJI HAWANA RAHA KABISA NA WANASHINDWA KUTAFUTA CHAJIO!
[*=left]UMASKINI UPO JUU - WATU HAWAENDI MASHAMBANI...
hivi hawa tanesco wanapokata umeme toka saa nne asubuhi hadi saa tatu hii wana maana gani? Bila taatifa, ukiwapigia majibu ya hovyo..... Kazi za watu zimesimama na tarehe mbaya hizi wanakera sana
Kazeni buti ccm sasa tunangoja mradi wa mabus yaendayo kasi na daraja la kigamboni.... Najua wako watakao beza mafanikio haya kwani ni kawaida yao hata penye ukweli wanabisha tu
Napendekeza nchi yetu ianzishe KODI MAALUM YA ELIMU, AFYA NA KILIMO YA KIWANGO CHA SHILINGI ELFU 25 TU KWA SIKU KWA KILA GARI LITAKALO KANYAGA BARABARA YOYOTE ILE YA LAMI AMBAYO IKO NDANI YA MKOA...
Mary Mlatie amefariki jana,alishawaikufanya kazi NBC kwenye miaka ya 80 kama afisa habari alikuwa anatangaza vipindi vya redioni kuhusu NBC. Mala ya mwisho amefanya kazi TAKUKURU. Mipango ya...
Naangalia WBS-Habari channel ya Uganda hapa. Wanasema Kuna bonge la kashfa nchini humo. Imegundulika Nssf ya uko imelipa pensheni (malipo ya uzeeni) kwa walengwa na wasio walengwa ambao ni...
KUMEZUKA KUNDI Hatari linalojiita Makhirikhiri katika visiwa vya Ukerewe huko Ziwa Viktoria ambalo linahatarisha maisha ya watu kwa kuwachinja na kisha kuchukua viungo.
Kundi hilo linawateka...
Niko hapa NBC corporate kudeposit fedha kuna foleni kubwa na kuna caunter zaidi ya 7 lakini teller ni mmoja tu,tumejaribu kuulizia tatizo ni nini wanasema wengine wanaumwa,huu ni uzembe wa hali ya...
Wadau kila nikikatisha kona mbalimbali mitandaoni hata humu Jf naona huyu jamaa EL anajadiliwa sana,sasa kwa wale wachambuzi wa siasa mnijuze inamaanisha nini ?
Mie husikiliza TBC 'Taifa' radio hasa kipindi cha WOSIA WA BABA kinachotoa hotuba za BABA WA TAIFA kila siku asubuhi, vipindi vingine ukiacha hicho na vile vya Masoud Masoud ni vya hovyo ikiwemo...
The World Bank Board of Executive
Directors has yesterday approved dishing
out USD25 million to boost the
productivity of Tanzanias agriculture
sector through timely delivery of seeds and...
Urban planning experts urge a revisit to Dar es Salaam master plan
By Alvar Mwakyusa
21st December 2009
HIGH-RISE buildings springing up in downtown Dar es Salaam have raised the...
Ndugu Watanzania wenzangu baada ya kusoma tamko la Ustadhi Kondo Bungo Naibu Amir Jumuia na taasisi za kiislam Tanzania (T) Dar es salaam. Kuhusu udini hapa nchini; Ustadhi Kondo anasema kuwa...
Waziri Mwakyembe kafanya jambo kubwa na zuri sana kuwasimamisha kazi wakurugenzi Mgawe,Koshuma,Mfuko na menejea wa bandari bwana Ngamilo kwani hawa ni walikuwa ni tatizo, ila bado kuna tatizo...
Pengine ni kweli kila mtu ana haki ya kuajiriwa na hata baibo inasema asiefanya kazi na asile sijaona alie na baba kigogo ama mama asifanye kazi ..hapana wote bado tuna nafasi sawa ya kufanya kazi...
nimejaribu kuitafuta makala hii ambayo inatukumbusha ushindi wa kishindo walioupata ccm enzi hizo lakini baadae walishuhudia kupoteza majimbo zaidi.leo hii nape anaposimama jukwaani na kujifagilia...
Napenda kuyafuatilia matamko mbalimbali ya kisiasa yanayotolewa na ndugu NAPE NNAUYE,,Nashangazwa sana na mtindo wake wa kutoa matamko mbalimbali siku hizi na kwenye hayo matamko ni lazima amtupie...
Katika hali isiyo ya kawaida jana wakati naangalia taarifa ya habari ITV, Mh. Mnyaa alikuwa akilalamika kuwa wabunge wanaelekea katika kikao cha bunge kinachoanza leo wakiwa hawajapewa muhtasari...
Naona ameonekana DSM na anaoneshwa kwenye taarifa ya habari ya Clouds Tv. Kuna watu uwa wanaamini kwamba ana uwezo wa kutabiri je ni kweli ana uwezo huo?
Nimesoma vichwa vya magazeti mbalimbali yote leo,nimeona magazeti ya serekali na yale yanayo milikiwa na makada wa ccm na CCM yenyewe yakibeza ushindi wa chadema katika uchaguzi wa madiwani,kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.