Devid Mranda wa TPA achia ngazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Devid Mranda wa TPA achia ngazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kalanjadd, Oct 29, 2012.

 1. k

  kalanjadd Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri Mwakyembe kafanya jambo kubwa na zuri sana kuwasimamisha kazi wakurugenzi Mgawe,Koshuma,Mfuko na menejea wa bandari bwana Ngamilo kwani hawa ni walikuwa ni tatizo, ila bado kuna tatizo kubwa lingine inapaswa kufanyika haraka la sivyo kila siku uharibifu utaendelea, huyu mkuu wa usalama wa bandari bwana Devid Mranda anapaswa kuondolewa haraka kwani wizi wote unafanyika yeye yuko hapo anashuhudia na kuubariki na hatari sana kwa kwa muda mchache alioko hapo amekuwa tajiri kupindukia akimiliki mahotel,maduka ya vifaa vya ujenzi na Nguo eneo la kariakoo na mwenge

  Tunakuomba waziri Mwakyembe muondoe haraka fisadi huyu hana afanyalo ni kuharibu tu.
   
 2. D

  Divele Dikalame Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mranda namjua huyo hafai kabisaaaaaaaaaaaaaa anzeni kumfungia ofisi abaki nje ya geti fisadi mkubwa huyo kibaraka wa Efraem Mgawe yuko hapo kwa umbea kuuza maneno na kusaidia wizi wa makontena
   
 3. S

  Sabato masalia JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kama hao akina Mgawe walisimamishwa kwa uharifbifu huku huyo Mranda akiwa mkuu wa usalama wa bandari, ni mantiki gani naye asiwajibishwe biblia inasema kilichozaliwa na roho ni roho na kilichozaliwa na mwili ni mwili maadamu akina Mgawe walifanya ufisaid huku Mranda yupo bila shaka nae ni fisadi, ili kujenga uadilifu atimuliwe haraka akiwezekana yeye na hao akina Mgawe waburuzwe mahakamani.
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Aondolewe tu japo hakutamaliza tatizo kwa sababu tatizo lililopo ni la kimfumo zaidi.
   
 5. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Hii laana sijui itaishaje TANZANIA? wizi kila mahali!! akamatwe na afikishwe mahakamani.kumbe PRESIDENT KAGAME alikuwa anasema kweli.
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Bandarini ni uozo mtupu, halafu sasa hivi kuna mgomo baridi wa kutekeleza majuku . Juzi kati nilimnukuu mfanyakazi mmoja sikuweza kumtambua jina lake akisema "Huko pameshachafuka tayari" hapo akiondoa gari yake kwa kasi kutoka kazini ambapo alitakiwa a-sign izinisho la kutoa magari pale bandarini!!!

  PAMEOZA BALAA PALE MAHALA...!
   
 7. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwani hao walioondolewa wameshafikishwa kwa pilato tayari?mbona hii nchi usanii mwingi sana
  vp yule mkurugenzi wa TBS,ooh i forgot wa TANESCO?vipi EPA?
  Mwee ukiyafikiria ya hii nchi unaweza pelekwa milembe
   
 8. D

  Divele Dikalame Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mranda namjua tangu 1978 alikuwa pale Ilemelamwanza dili zake ilikuwa kulahgua sukari enzi za ukata wa bidhaa hiyo, sijui uadilifu wa kupewa majukumu makubwa kama hayo hapo bandari aliyapataje!!!!?
   
 9. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuwatimua haitoshi wafikishwe mahakani na wafilisiwe.
   
 10. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuwatimua haitoshi wanatakiwa wafikishwe mahakamani na wafilisiwe.
   
 11. M

  Mwanasazi JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamani wana jamvi si taratibu atatoka huyo secuirty manager kama wametoka wakuu wake na yeye atafuata na sina uhakika kama waziri ana mamlaka ya moja kwa moja kumuondoa huyo, hivyo itafika zamu yake soon
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Atakuwa yupo fit kwa ndumba huyo
   
 13. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  TAKUKURUPUKA MKO WAPI KAMA MLIKUWA HAMJUI BASI MMEJULISHWA.
  Inaeweka dhahiri kuwa katika maeneo nyeti huwa mnasheheni vyombo vya usalama lakini cha ajabu uovu wote na malalamiko yote yanayohusu uovu huo, vyombo hivyo vyote vimenyamaza kimya mpaka waziri aibue madudu hayo jee nyie mnafanya nini?
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,276
  Likes Received: 5,637
  Trophy Points: 280
  ndio upumbavu ulioniNIFANYA NITUKANE JANA PALE ROSEGARDEN WAKATI WAKIMSIFIA NA TRENI YAKE NKAWAAMBIA WASHENZI WENGI WA KUONDOA TPA WAMEBAKI TENA KWA KUJULIKANA SASA UNAPIGA KELELE YA WIZI UNAONDOA MKURUGENZI UNAACHA MKUU WA USALAMA ANAELINDA SI USHENZI HUO NA UZANDIKI...SIJUI NCHI INAPOELEKEA ILA NASHAURI HIVI VIJISIFA MNAVYOVITOA AVITAGUSA UKWELI WA MOYO WA MH MREMA AKIWA KAZINI ..MREMA KAMA NI MWIZI ANAONDOA HAPO HAPO NA GAMBA LA POLISI UNARUDISHA LEO WENGINE ATI WAKO UCHUNGUZINI HUKU UCHUNGUZINI WANALALA AKITANDA GANI KILA MTU ANAKIMBILIA UCHUNGUZI
   
 15. m

  mojaone Senior Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tusipoteze muda na gharama za kuwapeleka mahakamani,hakuna lolote litakaloendelea zaidi ya wao kushinda kesi,

  Dawa ni SISIEM tu waondoke madarakani na vibaraka wao,hakuna muda tena wa kupoteza.
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  natumaini ujumbe umemfikia mwakyembe....mranda aondoke na aondoke sasa hivi...safisha bandari nzima tumeshaonewa sana huko bandarini...ni zamu yao kuonja joto la jiwe
   
Loading...