Tumejiandaaje kuchukua nafasi za watoto wa vigogo huko waliko!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumejiandaaje kuchukua nafasi za watoto wa vigogo huko waliko!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 30, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,584
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  Pengine ni kweli kila mtu ana haki ya kuajiriwa na hata baibo inasema asiefanya kazi na asile sijaona alie na baba kigogo ama mama asifanye kazi ..hapana wote bado tuna nafasi sawa ya kufanya kazi wapi hapo dipo tunarudi kwenye mada....

  Wengi wamelalamikia bot,wizara za afya kama gazeti la jamhuri la leo linavyosema ila pengine lazima tujue hawa watoto awakukaa pale bahati mbaya ...kuna chain ilipita toka kwa wazazi wao ikawapitia ambayo nakuhakikishia chain hiyo hiyo itawapitia na watoto wao watakaozaliwa ama waliozaliwa..so si muda muafaka ila ni vyema na sie tukajiuliza sasa watoto wameshakaa pale imagine awatoki tena na wakitoka bot wanaelekea kufanya ikulu

  je wewe umemuandaje mtoto wako kuchukua nafasi za hawa watoto wa vigogo ninachoamini awaishi milele ila hata wakikimbia nchije umemsomesha mwanao vya kutosha..je ule mtandao wa wazazi uliowapa nguvu kuingia hapo umejiandaaje kuuvurga kumbuka tena awakuja bahati mbaya

  ni wakati wetu tujiulize jinsi gani ya kuzichukua hizo position ama mungu atakapowapenda ama kwa kufight wasiwaingize watoto wao wajawo ...how..kumbuka nao watawapeleka shule nzuri kama wazazi wo walipowapeleka na wakiwa na vyeti atuna jinsi so jiulize

  tuko wangapi??
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wee unauliza makofi police...mie nasubir tuwatoe 2 madarakani tena kuna post flan wizara flan naimezea mate...hapa niliponapiga mzigo niwe fit 2...
   
 3. a

  awuyegani Senior Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pdidy ulipotelea wapi? Nafikiri umefika wakati tuamke sasa na tuseme No!!!!!!!!!!!! Hii kujuana na kulindana ndio imetufikisha hapa tulipo na bado kidogo tutatumbukia na kuzama kabisa. Inauma kuona watu wanapeana nafasi za kazi kama karanga.
  VIGOGO kitu gani bwana? Nguvu ya umma itumike
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,584
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  Mkuu nipo mkuu maandilizi tu ya kuingia ikulu 2015 ndio yanatusumbua lakini mungu atatusaidia
  unajua tuanze sie wenyewe kijuweka safi sio upinzani unaingia 2015 unataka wakuingize kisa ulikuwa mpiga debe piga shule m naamini ni muda tu ndio utasema haya yote mwenye degree usibweteke amka kasome masters jamani huk mbelen loh@sisemi .com
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  kama aliyepo juu umsubiri ashuke,basi mtasubiri sana system hii ya sasa ni ya kulizishana mzaz,mtoto na ndugu asa sehemu nyeti na zenye manufaa,solution ni kutoa utawala uliokuwepo kama umeshindwa kuudumia wananchi wake kuwaondoa kwenye umaskin bila hivo mtasubiri sana
   
 6. a

  awuyegani Senior Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nakutakia kila kheri 2015
   
Loading...