Tanesco na upuuzi wa kukata umeme

mchakavumlasana

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
389
212
hivi hawa tanesco wanapokata umeme toka saa nne asubuhi hadi saa tatu hii wana maana gani? Bila taatifa, ukiwapigia majibu ya hovyo..... Kazi za watu zimesimama na tarehe mbaya hizi wanakera sana
 
hapa hata simu nimeazima.....

Si ndo mwanzo wa kuonekana tapeli huo kazi za watu haziishi....

Uchumi utakua kweli kwa namna hii?
 
Back
Top Bottom