Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kusaja, Oct 28, 2012.

 1. K

  Kusaja Senior Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau kila nikikatisha kona mbalimbali mitandaoni hata humu Jf naona huyu jamaa EL anajadiliwa sana,sasa kwa wale wachambuzi wa siasa mnijuze inamaanisha nini ?
   
 2. SHOSHOLOZA

  SHOSHOLOZA Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inamaanisha lowasa fisadi
   
 3. l

  lukme Senior Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  EL apumzike coz anawasha moto bure. Hautawaka. Ashachafuka cku nyingiiiiii
   
 4. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  Alikuwa PM wa TZ mahiri kama Sokoine angekuwa kazini Leo hi ANOMIE iliyo Tz isingekuwepo sheria Zingefuatwa
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  kiukweli mm ni mtu ambaye nina mpenda sana lowassa awe raisi wetu ktika nchi hii ila hizi kampeni zake humu jf zinanionyesha kabisa kwamba wana jf wana agenda ya siri na huyu mtu. kila kukicha EL sasa hatuna mambo mengine ya msingi ya kujadili?

  EL haitaj watu kumpigia debe kiasi hiki hebu tujadilini yale ya maana manake hata kama ni kununuliwa basi wenzangu mmenunuliwa zaidi lo!
   
 6. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  huyu kiongozi ni GAIDI LA UFISADI ambalo lina miliki mtandao wa Al-fisadi .tumejalibu kulitafutia mtego wapi!! Tumejaribu kutuma jeshi la MOVEMENT FOR CHANGE,aah wapi!! Tumejaribu kumtuma kamanda dr.slaa alikamate ,aah bado tuu!!!! This gie is wanted wether dead or alive na WAPIGANAJI MAFISADI !!!
   
 7. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Raisi wako wa mwaka 2015, mkibisha ataiba kura, bush pia aliiba.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,465
  Trophy Points: 280
  Fisadi Lowassa ni kinara wa rushwa huyu ndani ya magamba. Alikuwa mstari wa mbele kukusanya mabilioni toka kwa mafisadi mbali mbali 2005 ili kutoa rushwa kuhakikisha DHAIFU anaingia Ikulu, ameanza tena utaratibu ule ule ulitoumika 2005 wa kukusanya mabilioni ya pesa toka kwa mafisadi na pesa zake mwenyewe zilizopatikana kwa ufisadi ili atoe rushwa kila kona kuhakikisha anaingia Ikulu 2015. Huyu Kinara wa rushwa nchini hastahili kabisa kupewa ridhaa na Watanzania ya kuingia Ikulu 2015. Mwisho wa mafisadi kuingia Ikulu uwe ni 2010.
   
 9. K

  Kusaja Senior Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiukweli huyu Lowasa ana roho ngumu,kashfa kibao tena ziko wazi hata mtoto mdogo anafaham lakini cha kushangaza bado kama anasumbua siasa za bongo
   
 10. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  hili fisadi linakuwa na kiburi TANZANIA kwasababu wanaomiliki nchi ni CCM. tubuthu angezaliwa na kutawala ULAYA especially italy , angenyea kwenye ndoo mpaka ange okoka !!
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hata mimi naona hiki kitu ila niliweka hili bango kama linavyosoeka mimi binafsi namkubali!!https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/344757-kwa-siasa-za-tanzania-sioni-shida-wala-tabu;-ni-heri-nusu-shari-kuliko-shari-kamili.html
   
 12. J

  Jalem JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu wapendwa wana JF nawapongeza sn kwa kujadili haya maovu, lkn tutafanya nn kuondoa ubaya huu? EL kwa kazi ni mkwelii anafanya, lkn system yetu imeoza hata ukienda hospitalini wanakuambia dawa zimeisha ukitoa kitu kidogo unapatiwa dawa sasa tufanye nn kuondoa mambo haya?
   
 13. a

  awuyegani Senior Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona hakamatwi?
   
 14. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wa TZ wamekata tamaa mpaka wanayapenda mafisadi kama Fisadi Lowassa!!! Hii ni dalili ya utovu wa nidhamu. Hivi nani kawapa watanzania upofu. Wanashindwa kukumbuka kuwa jamaa alikuwa mstari wa mbele kukusanya mabilioni toka kwa mafisadi mbali mbali 2005 ili kutoa rushwa kuhakikisha washkaji zake wanashinda,sasa ameanza tena utaratibu ule ule ulitoumika 2005 wa kukusanya mabilioni ya pesa toka kwa mafisadi na pesa zake mwenyewe zilizopatikana kwa ufisadi ili atoe rushwa kila kona kuhakikisha anaingia Ikulu 2015. Watanzania wanalia maisha magumu lakini wanasahau kuwa pesa zao zinaliwa na mafisadi ambao ndio hao hao wanamsapoti jamaa huyu .
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Kw ahali ilivyo nibora nusu shari kuliko shari kamili!!Mkuu labda maana watanzania nikama tupo kwenye bahari hatujui niwapi pakushika sasa hatatukiona jani katikati ya bahari tunaomba mungu litunusuru na maisha yetu!!
   
 16. k

  kigoda JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 1,784
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tuipige chini ccm.
   
 17. amu

  amu JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Mi kila siku nasema heri tajiri aongoze kuliko maskini
  lowassa rais mbunge nachagua mnyika jim,boni kwangu
   
 18. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  wanampandisha chati
   
 19. 1000 digits

  1000 digits JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 2,750
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  Lowassa katika siasa za kistarabu ndiye mtu anayekubalika zaidi akifuatiwa n Dr. Salm .A. Salm. Ni watu wanaotukanwa lakini wakipanda kwny majukwaa wanaongelea mambo ya maendeleo. Padri Slaa naye anajitahidi lakini ni mdini !Hajawahi hata kuhudhuria maulidi moja ! Lowasa hana ubaguzi wa aina yoyote ,aliwahi kuwaambia CCM Arusha wazungumze na CHADEMA kabla mambo hayajaharibika,matokeo yake alirushiwa mawe na mambo yakaharibika. Je,Lema ,Mbowe na Slaa nao wametumwa na Lowasa kuchafua mji wa Arusha kwa mauaji!. Sio kila mtu anayemsifu mchezaji wa Simba kama Ngasa eti katumwa. Kila mtu anamtazamo wake na ni vyema tukaheshimu imani na mitizamo ya wengne ,huu ndo ustarabu.
   
 20. f

  filonos JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  shauliyenu AKIKAMATWA 2 ATALETA MVUA ZA MABOOM.....MKUFE NYOTE AMBAYE AMUMTAKI.......POLENI SANA WA TZ...
   
Loading...