Nipo dodoma hapa mjini kwa wiki sasa nimependa jinsi hawa waendesha pikipiki walivyo wastaarabu kwa wateja wao na huu mtindo wa kuvaa kofia mteja na dereva. mikoa mingine ifuate utaratibu huu.
Waungwana naomba mnisaidie kupata namba za simu za mkononi za viongozi hawa wafuatao:
1.Waziri---Celine Kombani.
2.Waziri---Philipo Mulugo.
3.Katibu mkuu na Naibu katibu mkuu TAMISEMI.
Sababu...
Wadau naomba tujadili hili kwa mapana zaidi. Barabara zinazojengwa na manispaa zetu kwa sasa zina kiwango duni kwa mfano katika manispaa ya Kinondoni, Kijitonyama barabara ya Akachube, Kipande cha...
MWANASHERIA wa Manispaaa ya Korogwe, mkoani Tanga, Najum Tekka ambaye amemshitaki Mkuu wa Wilaya hiyo Mrisho Gambo, amepigwa transifa (kuhamishwa) na kupelekwa wilayani Nzenga, Tabora,
Source...
Kwa waliotembelea nyuma za watu wa pwani,watakuwa wameona vijumba kama vya kuchezea watoto ktk kaya za watu wengi mkoani pwani.Vijumba hivyi vimeezekwa kwa amkutu, mabati na nyasi, na ukubwa wake...
Wadau huu ni kurasa wa Great thinker let me Add with opinion, kwa pamoja sijui niite vipi au nisemeje natamani kuchangia kwenye MAISHA PLUSS, project naona changamoto zao kwa uasilia
Garama za Harusi
By Simson Mrema
https://www.facebook.com/groups/44794736841/permalink/10151207823606842/
Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa...
Haya tena kila uchao raman ya kisiasa inabadilika. JK atakuwa arusha kuzindua jij la Arusha. Nan anasema jk anawaogopa wa Arusha?
Source mnara wa mwenge unapigwa rang na majukwaa yanajengwa.
Inatia shaka kuanza kusikia kuwa umetokea uhaba wa tiketi katika treni iliyo anza kazi juzi! Kisha nauli kukusanywa kwa mtindo wa daladala.Kwahali ninashaka sana na wajanja wachache wanoweza...
Mamlaka ya chakula na dawa TFDA imesimamisha uzalishaji pamoja na usambazaji wa dawa bandia za kupunguza makali ya ukimwi ARVs zilizokuwa zikizalishwa na kiwanda cha TPI kilichopo Arusha...
Wanajf tulidai Salary. Vyeo vipande tukaambiwa tukasome Tumeenda University tumepanda Kielimu kurudi kazini hakuna changes huu ni mwaka wa tatu. La ajabu wapo wenye Certifiate za 6months na uzoefu...
Mhariri Mtendaji wa gazeti la MwanaHalisi, Saed Kubenea
Serikali imeshauriwa kukutana na viongozi wa kampuni ya Hali Halisi ili kujadili namna ya kulifungulia gazeti la Mwanahalisi kutokana na...
Kwa muda sasa kumekuwepo na udhaifu na uzembe wa hali ya juu kwa viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga ambapo wameshindwa kutoa mshahara kwa wakati na badala yake wamekuwa...
Kamishna wa Zanzibar Mussa Ali Mussa
Hili nisuala lazimawananchi wa zanzibar tumkamate rohoni huyu mussa na gange lake linalofanyaoperation ya kuwa na kuwatesa wananchi wa zanzibar bila ya...
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya...
Habari nilizozipata punde. Fao la kujitoa limeruhusiwa na serikali na kauli itatolewa na serikali ktk kikao cha bunge kinachoanza leo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
UZINDUZI wa safari za treni ya abiria jijini la Dar es Salaam, nusura uingie dosari jana wakati kibaka aliyetambuliwa kwa jina la Vincent Michael alipoamua kuiba vyuma vya breki katika moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.