Afrika bwana! Kashfa kila kona..

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Naangalia WBS-Habari channel ya Uganda hapa. Wanasema Kuna bonge la kashfa nchini humo. Imegundulika Nssf ya uko imelipa pensheni (malipo ya uzeeni) kwa walengwa na wasio walengwa ambao ni wasichana na vijana wengi wao wakiwa u_20 na sio wazee. Hata picha zao zinaonyesha hivyo. Uganda Police wanachunguza kashfa hiyo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukishangaa ya musa utayao ya firauni

Hata Ulaya sio kila kitu kinakwenda sawa % 100 wana utata unaowaumiza kichwa japo kuna kajiuafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom