Majambazi kutoka burundi washambulia vijiji vya tanzania kila siku!

Ngida1

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
586
206
NCHI INAHUJUMIWA NA MAJAMBAZI KUTOKA BURUNDI: WENYEWE TUMELALA!!!


  • [*=left] WANA-VIJIJI HAWANA RAHA KABISA NA WANASHINDWA KUTAFUTA CHAJIO!
    [*=left]UMASKINI UPO JUU - WATU HAWAENDI MASHAMBANI KUOGOPA MAJAMBAZI KUTOKA BURUNDI!
    [*=left]TUNAIOMBA SERIKALI YETU IWASHUGHULIKIE HAWA MAJAMBAZI KWA HARAKA SANA SANA!
    [*=left]KAKA ZITTO KABWE TAFADHALI SAIDIA KUIJULISHA SERIKALI JUU YA HALI YA KAKONKO (KIGOMA)
 
askari wetu wako well trained kuzuia maandamano, ugumu unakuja kwa swala la majambazi kwani 'hawaandamanagi' hao.
 
Toa data kamili! kila siku? ki vipi! taja siku tarehe na siku walizovamia na mahali.
 
Wewe wasingizie Warundi wa watu wakati ni nyie nyie waha,kwani kuna jambazi alishawahi kukamatwa na akathibitisha kuwa ni raia wa Burundi.Kwa nini useme Burundi na wala si Rwanda ama DRC maana Kigoma imepakana na nchi hizo zote tatu
 
Back
Top Bottom