Hongera CCM kwa kutimiza ahadi ya usafiri wa gari moshi-jiji Dar

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Kazeni buti ccm sasa tunangoja mradi wa mabus yaendayo kasi na daraja la kigamboni.... Najua wako watakao beza mafanikio haya kwani ni kawaida yao hata penye ukweli wanabisha tu
 
Nenda kale kwanza uache kuota. Kinachofanyika siyo matunda ya CCM bali pesa ya watanzania. Hata wasingekuwa CCM hii miradi ingetekelezwa. Sana sana wanachoweza kufanya CCM ni kutujengea daraja substandard ili baadaye lituangamize. Hawa jamaa hawana hata chembe ya utu. Mungu wao ni pesa na dini yao ni tamaa huku visheni yao ikiwa ni upofu.Sibezi nasema ukweli.
 
Naungana nawe mkuu, hongera sera safi za CCM.
hao wanaohara matusi watakuwa wa kwanza kutumia huduma hiyo!
 
Huyu nae ndo wale wale sie tunapambana na fao la kujitoa la NSSF lirudishwe yeye anashangilia CCM asijue kuwa ni kodi yake wanayomkata kila mwezi ndo inaendesha treni hiyo.Kweli wewe kama upo Dar hata haustahili kuwa Dar wala kuishi Dar maana bado una tongotongo mpaka mdomoni
 
Kazeni buti ccm sasa tunangoja mradi wa mabus yaendayo kasi na daraja la kigamboni.... Najua wako watakao beza mafanikio haya kwani ni kawaida yao hata penye ukweli wanabisha tu

Naungana nawe mkuu, hongera sera safi za CCM.
hao wanaohara matusi watakuwa wa kwanza kutumia huduma hiyo!

Hivi hayo kwenu ni mafanikio???

Kweli kazi ipo.................. Sasa kama na watu humu JF mnasema hivi, sasa sijui inakuwaje kwa wale wenzetu ambao hat key board hawajawahi kuibonyeza??
 
Nenda kale kwanza uache kuota. Kinachofanyika siyo matunda ya CCM bali pesa ya watanzania. Hata wasingekuwa CCM hii miradi ingetekelezwa. Sana sana wanachoweza kufanya CCM ni kutujengea daraja substandard ili baadaye lituangamize. Hawa jamaa hawana hata chembe ya utu. Mungu wao ni pesa na dini yao ni tamaa huku visheni yao ikiwa ni upofu.Sibezi nasema ukweli.

Kaka kwanza jina unalojiita ni laana tosha kwako hilo ni jina la Mungu kuna vitu ktk life tunaviona vidogo lakini mwisho wake mbaya nakushauri acha kutumia hill jina
 
Hivi hayo kwenu ni mafanikio???

Kweli kazi ipo.................. Sasa kama na watu humu JF mnasema hivi, sasa sijui inakuwaje kwa wale wenzetu ambao hat key board hawajawahi kuibonyeza??

Hao ambao hata keyboard hawajawahi kubonyeza tunawaachia CDM watakapo chukua nchi!
 
Nenda kale kwanza uache kuota. Kinachofanyika siyo matunda ya CCM bali pesa ya watanzania. Hata wasingekuwa CCM hii miradi ingetekelezwa. Sana sana wanachoweza kufanya CCM ni kutujengea daraja substandard ili baadaye lituangamize. Hawa jamaa hawana hata chembe ya utu. Mungu wao ni pesa na dini yao ni tamaa huku visheni yao ikiwa ni upofu.Sibezi nasema ukweli.

Mimi nilikuwa nafikiri huo mradi unajengwa na pesa za walalahoi chini ya usimamizi wa serikali, kumbe ni mradi wa CCM ndio walio otoa pesa. Kitu kingine naomba kukuuliza...Hivi CCM wana miradi gani ya kuwapatia pesa mpaka wakaamua kuijenga Tanzania na sio chama chao?

Mbona haujiamini wewe? Unaandika utafikiri uko vitani! Acha kulalamika usitegemee kila mtu aone kama wewe!

Any way Nampongeza sana Mwakyembe kwani amefanya kazi nzuri.

Kazeni buti ccm sasa tunangoja mradi wa mabus yaendayo kasi na daraja la kigamboni.... Najua wako watakao beza mafanikio haya kwani ni kawaida yao hata penye ukweli wanabisha tu
 
sidhani kama kuna cha hongera hapa ni wajibu wa serikali kuwezesha wananchi waishi maisha bora
CCM hapa inahusikaje wakati ni miradi ya serikali inayotokana na kodi zetu?
ni unafiki kupongeza pongeza wakati ni mali za watanzania
 
mleta mada asitake kutufananisha kama wakati wa ukoloni walipowadanganya mababu zetu kwa kuwapa kioo!!!
 
Kazeni buti ccm sasa tunangoja mradi wa mabus yaendayo kasi na daraja la kigamboni.... Najua wako watakao beza mafanikio haya kwani ni kawaida yao hata penye ukweli wanabisha tu
Nisawa na kumsifu ng'ombe kubeba nundu yake!
 
Kazeni buti ccm sasa tunangoja mradi wa mabus yaendayo kasi na daraja la kigamboni.... Najua wako watakao beza mafanikio haya kwani ni kawaida yao hata penye ukweli wanabisha tu
Mbona hujawapongeza kwa kuiua reli iendayo Moshi na arusha? Acha ushabiki wa kutokutumia akili.
 
hakuna pongezi kwa ccm kwani trenina reli ni vya mkoloni,sasa tupongeze CCM kwa huduma ya km zisizozidi 50 wakati reli ya dar-kigoma,dar mwanza,dar-tanga,kilimanjaro,arusha.mtwara-nachingwea,tabora-mpanda zimeuliwa na ccm!!!TAFAKARI
 
CCM haina ubavu wala mapenzi ya kutumia pesa yao. Ni waongo na wezi. Nijuavyo hii pesa kwa mfano ya daraja la Kigamboni ni pesa ya wanachama wa PPF inayotumiwa kibiashara na vibaya na dk Dau rafiki yake Kikwete. Hili la mradi wa mabasi yaendayo kasi pia ni mradi wa watu. CCM ni usanii tu. Wenyewe hata pesa ya kuwalipa mawakala hawana zaidi ya kulipana wakubwa hiyo ya kujenga mradi waipate wapi? Isitoshe CCM hawana akili wala uadilifu wa kuweza kuendesha mradi wowote viable and successful so to speak. Angalia walivyogawanyika kwenye mitandao ya kijambazi.
 
Back
Top Bottom