Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshanga kuona katibu mwenezi wa CCM Bw. Nape Nnauye akidai CCM kimeshinda kwa asilimia 75 (75%) wakati ni dhahiri shahiri kimsingi angesema CCM kimeshindwa kwa asilimia kadhaa badala ya kutumia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TUKIO la kuuawa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten mkoani Iringa, Daud Mwangosi, limeendelea kuibua mambo mapya, baada ya aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Heshima kwenu wenzangu! Nimeshindwa kuvumilia hili. Kila wakati ninapoangali taarifa ya habari kama kosa halitatokea kwa mtangazaji kutoa habari zisizopaswa basi anakosea kusoma. Na zaidi ni kutoa...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za leo wanajamii!!! Jana jioni nikiwa ndani ya daladala narudi nyumbani kutoka kazini, Radio hewani ilikuwa ni clouds fm jahazi. Sasa ilikuwa ni ile segment ya magazeti ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
PASIPO NA UPENDO HAKUNA AMANI Ninaandika kwa masikitiko sana, jinsi ambavyo Watanzania tumelichukulia swala la machafuko yaliyotokea na kufikia hatua ya makanisa kuchomwa moto, misikiti kunajisiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Africa Barrick Gold aliyekuwa akifanya kazi mgodi ya Bulyanhulu, wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Samuel Kamudulu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndg WanaJF, Kwa mawazo yangu,nafikiri Watumishi wa Wizara ya Uchukuzi WAMETHUBUTU, WAMEWEZA na Wanastahili pongezi za Mwajiri Mkuu wa nchi ambaye ni Rais wa Serikali ya JMT ili waweze KUSONGA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wabunge Wetu Wanatakiwa Wafanye Nini??????????
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Somalia ni taifa ambalo huendeshwa na kutawaliwa kivipande vipande chini ya koo tangu rais mwasisi wao Siad Baleh afariki. CCM inaelekea huko huko kama chama tangu mwasisi na kiongozi mkuu Mwl...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu nimefatilia tarifa za habari za stesheni mbalimbali kuna habari moja imeonesha jinsi kamanda kova na jeshi la polisi lilivyo2mia akili za kiitelejensia na kufanikiwa kuwakamata wakenya 3...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amesema anaunga mkono viongozi wa dini kuwa matajiri. Amesema kuwa, hapingi viongozi wa dini kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kila dalili Tembo kuwa history kama Dinasaurs. Kwa wiki moja(23/10/2012 & 29/10/2012) meno ya tembo yamekamatwa sehemu mbili na yote yametoka Tanzania. Ni matokeo ya Corrupt(Kifisadi) society...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatma ya fao la kujitoa kujulikana leo Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika Serikali itawasilisha tamko la kuruhusu fao la kujitoa katika Mkutano wa Tisa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu leo jioni nimerudi nyumbani toka kwenye mihangaiko yangu na kukuta msg hii kwenye simu yangu. ''Congratulation you have win 5000$ call free this number 002399882137 immediately'' Sijapiga...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi almanusura amchalaze viboko mwanafunzi kwa kitendo cha kuvaa mlegezo mbele yake source:Moja ya gazet la leo(Tanzania Daima)
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Congratulations!! YES YOU ARE A WINNER!!!! You have been cleared to recieve £100,000 Hundred Thousand British Pounds on The CocaCola Mobile/Internet Promo Winnings We cannot obstruct or...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Alhamisi tarehe 25 Oktoba, mapadri wa Consolata walikwenda baharini kumaliza siku huko Bagamoyo. Ilikuwa ni pale Stela Maris, hoteli mpya kabisa ya kanisa katoliki. Waliingia baharini kuogelea na...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Cku ya jumapili vyombo vingi vya habari vimetoa habari kwamba kunabaadhi ya viongozi wa dini wametoa maneno kwa waumini wao kwamba TUNAOMBEA AMANI wakati huu na wakati huu pengo kati ya masikini...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
The academic world has lost one of its giants, Professor J.P. Rushton http://www.charlesdarwinresearch.org/JPRvitae.htm
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Ruvuma katika kata ya Mletele Manispaa ya Songea, nako wafuasi wa vyama hivyo walichapana kwa mapanga na fimbo na kusababisha zaidi ya watu watano kujeruhiwa wakati wa kufunga kampeni za uchaguzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom