NBC Corporate ni wazembe sana

ureni

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,261
526
Niko hapa NBC corporate kudeposit fedha kuna foleni kubwa na kuna caunter zaidi ya 7 lakini teller ni mmoja tu,tumejaribu kuulizia tatizo ni nini wanasema wengine wanaumwa,huu ni uzembe wa hali ya juu tumepanga foleni hapa zaidi ya masaa mawili kwa mtindo huu sisi watz tutabaki kuwa masikini wa wakuomba misaada tu kama mpaka usimamizi tu tunashindwa.
 
In this age of time, if you continue using cash you are doomed!!!
 
nbc ndio benki inayolipa mishahara kidogo sana (kwa wafanyakazi wanaoonana na mteja moja kwa moja, ie makeshia, watoa huduma za maulizo na wapokea wageni). Watu hawa hawathaminiwi kabisa na daraja lao ni BB, walikuwa wakiitwa Bank Clerks, sasa wanaitwa Bank Officers.
Mishahara yao ni duni mno, licha ya kuwa wafanyakazi wa benki hiyohiyo mishahara yao ni mikubwa mno.
Morali yao ya kufanya kazi ni ndogo, muda mwingi ni wagonjwa wa stress na dipression.
Wao ndo wako busy na bahasha zao mkononi kusambaza cv's, je huo muda ambao mteja anataka huduma nzuri atapata wapi???
Hawa wafanyakazi wa chini baada ya kupeleka kero zao kwa Mafuru, mafuru aliwaambia kama hawaridhiki na mishahara walambe lapa, kwa hasira watu hawa wakamtengenezea zengwe Mafuru hadi akasima,ishwa kazi.
Leo bank hall hamna staff , kuna kimgomo cha chinichini, Mafuru ajue hilo
 
Wanatengeneza overtime hao. Haiwezekani waumwe wote kwa pa1 au watakuwa wanableed

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
aiseee mbona wanaturingishia na visuti vyao humu mjini
 
Aisee mkuu umenena ukweli,kuna mgomo manake hata ukiangalia huyo teller mmoja aliyebaki unakuta anamhudumia mteja mmoja kwa kama dk20 hivi anakuaslow kweli inaonekana kuna issue
 
kuna bank special zinadeal na corporate tu! mfano FBME BANK LTD! wanafungua tawi na head offices zao zitahamia kinondoni hapo karibu na ubalozi wa india! ila kwa sasa nendeni hamieni tawi lao kubwa la samora, pembeni ya azania bank, mimi boss wangu amefungua hapo! we dont regreat! tena tukitaka huduma ya haraka wanafanya cash collection na wanakufuata ulipo! ni expert wa CORPORATE! jaribu uone, nways pole sana!
 
Wanatengeneza overtime hao. Haiwezekani waumwe wote kwa pa1 au watakuwa wanableed

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kwani wanaweza kuwa wanableed wengi namna hiyo kwa wakati mmoja?kama ni hivyo basi manegement yao itabidi ifanye genda balance katika kuemploy waweke na wanaume pia wa kutosha,ili wakija kubleed kwa mpigo tusipate impact kama hiyo tena
 
Umeandikaje thread hii ukiwa kwenye foleni? Au ulienda juzi ndo unaleta uzi leo
 
kuna bank special zinadeal na corporate tu! mfano FBME BANK LTD! wanafungua tawi na head offices zao zitahamia kinondoni hapo karibu na ubalozi wa india! ila kwa sasa nendeni hamieni tawi lao kubwa la samora, pembeni ya azania bank, mimi bozi wangu amefungua hapo! we dont regreat! tena tukitaka huduma ya haraka wanafanya cash collection na wanakufuata ulipo! ni expert wa CORPORATE! jaribu uone, nways pole sana!
unapigia debe FBMB!! au wewe ni teller au secretary wa CEO??
 
Mafuru ana taarifa na huo uzembe?

Wameshindwa kumng'oa kwa skendo, sasa wanataka kutimua wateja, ili mwisho wa muhu.a benki ionekane inaendeshwa kwa hasara. Weusi wengi hawafurahishwi na Mafuru. Mafuru ni mbaguzi, anakundi lake, hilo ndilo linalofaidi bonus na mishahara minono
 
hapana mkuu! ni mteja wao mzuri muda mrefu sana, na sijawahi lalamika wala kujuta! sipendi kwa banker, it wasn't my dream. hope nimekujibu!

Federal bank of middle East,HQ iko pale samora avenue karibu na askari monument.okay cacico nimekusoma.
 
Waombe FBME kazi ya marketing....you are good cacico :glasses-nerdy:

kuna bank special zinadeal na corporate tu! mfano FBME BANK LTD! wanafungua tawi na head offices zao zitahamia kinondoni hapo karibu na ubalozi wa india! ila kwa sasa nendeni hamieni tawi lao kubwa la samora, pembeni ya azania bank, mimi boss wangu amefungua hapo! we dont regreat! tena tukitaka huduma ya haraka wanafanya cash collection na wanakufuata ulipo! ni expert wa CORPORATE! jaribu uone, nways pole sana!
 
Last edited by a moderator:
nbc.....

Kuna jamaa yangu wiki iliyopita alikuwa analia wamekomba 1m kwenye akaunti yake
 
Back
Top Bottom