Waheshimiwa Wabunge Wetu na Ndugu RAIS, ILI KUFUTA FOLENI ZA MAGARI DAR ES SALAAM

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
Napendekeza nchi yetu ianzishe KODI MAALUM YA ELIMU, AFYA NA KILIMO YA KIWANGO CHA SHILINGI ELFU 25 TU KWA SIKU KWA KILA GARI LITAKALO KANYAGA BARABARA YOYOTE ILE YA LAMI AMBAYO IKO NDANI YA MKOA WETU WA DAR ES SALAAM.

NAOMBA KUWASILISHA

SABI SANDA
KEREGE, BAGAMOYO
0654 46 77 58
 
Mkuu hii nchi haina tatizo kabisa la fedha! Tatizo ni vipaumbele na usimamizi wa rasilimali za taifa unaotokana na tatizo la kimfumo la tuliowakabidhi taifa letu. As long as CCM itaendelea kuwa madarakani, usitegemee lolote la maana katika maendeleo ya taifa letu.
 
ulivyosema bagamoyo tu umenichefua kabisaa.... mhudumu hongeza tusker pls?

V
SENGEREMA
 
Napendekeza nchi yetu ianzishe KODI MAALUM YA ELIMU, AFYA NA KILIMO YA KIWANGO CHA SHILINGI ELFU 25 TU KWA SIKU KWA KILA GARI LITAKALO KANYAGA BARABARA YOYOTE ILE YA LAMI AMBAYO IKO NDANI YA MKOA WETU WA DAR ES SALAAM.

NAOMBA KUWASILISHA

SABI SANDA
KEREGE, BAGAMOYO
0654 46 77 58

Tuombe
Eee Bwana ninakuomba uwarehemu watu waliokengeuka kimtazamo, kufilisika kifikra na kupotoka kiakili kama huyu ndugu. Uwarejeshee akili mpya yenye kufikiri vyema.
Najuwa hakufanya hivi kwa kosa lake, bali ni matatizo yanayomkabili ikiwemo hofu ya kupoteza kazi kwa kuchelewa kila siku sababu ya foleni, matatizo ya kifedha, gharama za maisha na kukosa matumaini ndio vinamfanya achanganyikiwe na kuwa na msongo wa mawazo kiasi cha kufanya akili yake kutofikiri vyema. Na pia kuwa na chuki binafsi na wenye magari bila kutambua kuwa hata yeye ataadhirika kwa namna moja au nyingine kwa maamuzi kama haya.
Ninafungulia nguvu ya ufahamu juu yake ili aweze kufikiri kabla ya kuandika utumbo kama huu.

Amen
 
Wakuu,

Bila kuwa na tozo la kodi maalum foleni zitaendelea kuwa tatizo kubwa Dar es Salaam. Na katika siku zijazo mkoani Mwanza na Arusha kama tutaendelea kuwa wababaishaji.
 
Napendekeza nchi yetu ianzishe KODI MAALUM YA ELIMU, AFYA NA KILIMO YA KIWANGO CHA SHILINGI ELFU 25 TU KWA SIKU KWA KILA GARI LITAKALO KANYAGA BARABARA YOYOTE ILE YA LAMI AMBAYO IKO NDANI YA MKOA WETU WA DAR ES SALAAM.

NAOMBA KUWASILISHA

SABI SANDA
KEREGE, BAGAMOYO
0654 46 77 58

kweli wa bagamoyo wewe. Wakati watu wanahoji kodi zetu zinafanya nini wewe ndio kwanza unataka kuwaongezea ulaji watu.
 
LABADA WEWE UNATAKA HILO LITOKEE ILI WENYE MALI WAENDELEE KUWA NAZO NA WASIONAZO WAENDELEE KUPOKWA HATA KILE WALICHONACHO. FIKIRIA MARA MBILI ZAIDI KWA NIONAVYO MIMI HIYO SI NJIA SAHIHI YA KUPUNGUZA FOLENI NCHINI TZ:angry:
 
Tuombe
Eee Bwana ninakuomba uwarehemu watu waliokengeuka kimtazamo, kufilisika kifikra na kupotoka kiakili kama huyu ndugu. Uwarejeshee akili mpya yenye kufikiri vyema.
Najuwa hakufanya hivi kwa kosa lake, bali ni matatizo yanayomkabili ikiwemo hofu ya kupoteza kazi kwa kuchelewa kila siku sababu ya foleni, matatizo ya kifedha, gharama za maisha na kukosa matumaini ndio vinamfanya achanganyikiwe na kuwa na msongo wa mawazo kiasi cha kufanya akili yake kutofikiri vyema. Na pia kuwa na chuki binafsi na wenye magari bila kutambua kuwa hata yeye ataadhirika kwa namna moja au nyingine kwa maamuzi kama haya.
Ninafungulia nguvu ya ufahamu juu yake ili aweze kufikiri kabla ya kuandika utumbo kama huu.

Amen
amen,mkuu nakushukuru sana kwa hii prayer,this guy is delusional and appears to be out of touch.What he proposed is a suicidal idea
 
Kwa akili zako ni aawa na kusema kuwe na kodi ya kuzaa kwani kila mtoto atakayezaliwa anaongeza idadi ya watu na budget ya serikari ki u jumla. Kuwa part of the solution na si part of the problem!.
 
hujajiuliza sh 300 za parkong mjini zinaenda wapi unakuja na njia ya kuwaongezea watu ulaji....

Tatizo la dar es salaam ni miundo mbinu mibovu....

Ingefaa uishauri serikali iimarishe miundo mbinu foleni ingekuwa historia....

Unless upo kwenye mrija unajua nawe utanyonya
 
kama upanda dala dala hiyo kodi utailipa kupitia nauli yako, maana kwa tz kodi humwathiri mtumia huduma wa mwisho kabisaaa ambaye utakuwa wewe!upo tayari au wee ni mzee wakukanyaga kama mimi?
 
Napendekeza nchi yetu ianzishe KODI MAALUM YA ELIMU, AFYA NA KILIMO YA KIWANGO CHA SHILINGI ELFU 25 TU KWA SIKU KWA KILA GARI LITAKALO KANYAGA BARABARA YOYOTE ILE YA LAMI AMBAYO IKO NDANI YA MKOA WETU WA DAR ES SALAAM.

NAOMBA KUWASILISHA

SABI SANDA
KEREGE, BAGAMOYO
0654 46 77 58

Asante kwa kutuonyesha ulaji ulipo
 
Napendekeza nchi yetu ianzishe KODI MAALUM YA ELIMU, AFYA NA KILIMO YA KIWANGO CHA SHILINGI ELFU 25 TU KWA SIKU KWA KILA GARI LITAKALO KANYAGA BARABARA YOYOTE ILE YA LAMI AMBAYO IKO NDANI YA MKOA WETU WA DAR ES SALAAM.

NAOMBA KUWASILISHA

SABI SANDA
KEREGE, BAGAMOYO
0654 46 77 58

Vipimo vyako vya hosipitali vimeonyesha una malaria ngapi. Nadhani Ni trillioni kadhaa. Elfu 25 kwa siku kwa Mwezi je mshahara wenyewe uko wapi. Au hutaki watu watumie magari warudi Kwenye Enzi za ujima.
 
CDM wewe nini maana wao hulipuka tu bila kufanya utafiti wa kina Kwani Hawana cha kupoteza
 
Back
Top Bottom