Vitambulisho vya taifa:-

Vitambulisho vya taifa:-

kamkoda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
396
Reaction score
71
Kunradhi wana JF,

Kuna ambaye anaufahamu wowote kuhusu zoezi la vitambulisho vya taifa kwa sasa mimi sioni dalili huku nilpo japo ni jiji-R-chuga.
 
Kama mahali pengine ambapo pesa ya serikali inaliwa ni kupitia vitambulisho vya Taifa hakuna kinachofanyika angalia wafanyakazi mpaka leo hakuna vitambulisho wakati walichukua kumbukumbu za mda mrefu sana
 
mradi wa kutafuna hela tu huu wafanyakazi wa serikalini toka january walijaza form wakasema watakuja kupiga picha na kuchukua finger print lakini mpaka leo kimya sasa kama wafanyakazi tu inachukua mwaka hao raia wa kawaida je??
 
Wakuu tunaomba kufahamu kama bado zoezi la vitambulisho vya uraia limeanza na linaendelea au imekuwaje?kwa sababu tunashangaa limezimika ghafla
yule msanii anaye endesha zoezi zima mbona hatumwoni kwenye tv tena?
 
Ulikuwa mradi wa kuiba kodi za Watanzania. The Government and their entitled allies are cobbled together with cloak and dagger routines, lies, fraud, corruption and half-truths. Secrecy and dishonesty is their only protection! I don't expect anything from this criminal government.

Mradi wa Vitambulisho kwa watanzania ulikuwa ni kiini macho
 
Hela zimeshaliwa wameshiba wakipata njaaa wataibuka kwa nguvu tena.........................!:confused2:
 
Kilichonishangaza ni utaratibu uliotumika wa kujiandiakisha halafu ndo tuje tupewe vitambulisho, sasa mbona hatujapigwa picha? kwanin zoez la kujiandisha lisingekwenda sambamba upigwaji picha? mi naona 'dubleduble' ukweli wa hili hata siuoni.
 
shukuru kwa hatua hiyo kwan huku kwetu hata watu hawajaandikwa majina. Hilo ni changa la macho kwan umeisahau miradi hewa...ndiyo hiyo sasa
 
Back
Top Bottom