.....kama ndio hivyo basi hizo KURA za wafanyakazi sizitaki...... Na ilikuwa ni siku chache kabla ya uchaguzi wa raisi....matokeo alishinda uraisi.....
kikwete ni dhaifu na daima atakuwa mdhaifu hata atoe kauli gani.Labda ana UJASIRI WA KUFICHA UDHAIFU WAKE. Atuonyeshe yeye si mdhaifu kwa MATENDO mfano: kupunguza ukali wa pesa za kigeni; kumuweka jela LOWASSA;Kukataa kauli ya pinda eti ya kwamba LIWALO NA LIWE kwa kumchania live bila kumuogopa; AJE AJARIBU KUTIBU WAGONJWA YEYE MWENYEWE na hajionee yakuwa ni kazi ngumu sana na si ya porojo; AJE AHAMISHIE MAKAZI YAKE KUTOKA IKULU na akae kwenye jumba la udongo; ATEMBEE KWENYE DALADALA YEYE mwenyewe kama raisi bila kuogopa ya kuwa watamuua; ASIWE ANATEMBEA NA BODY GUARD NA AWE KIVYAKE MAHALI POPOTE ANAPOKWENDA!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.