kwa anayejua picha zinazopigwa ni za nini?

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Wana JF naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua picha zinazopigwa kwa walimu bila maelezo ni za nini? Huku wilayani Mufindi leo ni siku ya tatu TASAF wanapiga picha bila maelezo. Mimi sijapigwa maana ningeuliza wale wote waliopigwa ukiwauliza nao hawajui. Kwa mwenye taarifa naomba kujuzwa
 
mnaenda kuuzwa china, si unajua wachina wamepewa uwekezaji wa kudumu kusini mwa Tanzania
 
Back
Top Bottom