Picha: Pinda azindua taasisi ya Waarabu Tanzania.

nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
[h=3][/h]
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza a Shekh Noordin Kishk (katikati) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Waarabu tanzania , Said Said Mohamed (kulia) baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Novemba 18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Waarabu Tanzania, Mohamed Suqry baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Sasa hii TAASISI ya WAARABU ina Maana ni kujitenga na WAISLAMU Wengine Ambao sio WAARABU??
Huo SIO UBAGUZI wa MCHANA? na SERIKALI ya CCM inakubali na kuruhusu Sababu ya AZIMIO la ZANZIBAR kuruhusu UHURU wa KUABUDU?
 
K

Kadogoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2007
Messages
2,072
Points
1,195
K

Kadogoo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2007
2,072 1,195
Sasa hii TAASISI ya WAARABU ina Maana ni kujitenga na WAISLAMU Wengine Ambao sio WAARABU??
Huo SIO UBAGUZI wa MCHANA? na SERIKALI ya CCM inakubali na kuruhusu Sababu ya AZIMIO la ZANZIBAR kuruhusu UHURU wa KUABUDU?
Hakuna cha ajabu Waarabu kuwa na jumuiya yao kama vile Wachaga, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, au Wahindi walivyo na jumuiya zao hapa nchini!

sasa huwezi kuhusisha Uarabu na Uislamu ndio maana hata Wachagga au Wasukuma wana jumuiya zao zenye mchanganyiko wa watu wenye dini mbalimbali! Hata hao Waarabu utakuta kuna Waislamu na Wakristo? jamani tuache fitina na chokochoko!
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,182
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,182 2,000
sio mbaya kuwa na jumuiya yao but iciwe politically or religiously motivated.. Kusaidiana na kusaidia jamii kwenye sekta ya elimu.. afya malazi na mengine mengi..
 
C

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
604
Points
225
C

chief72

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
604 225
hata waarabu wanamatatizo yao huenda wakahitaji kusaidiana, na nivema ikafahamika ki-serikali kuliko wakakutana maeneo ya tandare afu wakanzisha itakosa umoja thabiti
 
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
4,183
Points
2,000
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
4,183 2,000
Sasa hii TAASISI ya WAARABU ina Maana ni kujitenga na WAISLAMU Wengine Ambao sio WAARABU??
Huo SIO UBAGUZI wa MCHANA? na SERIKALI ya CCM inakubali na kuruhusu Sababu ya AZIMIO la ZANZIBAR kuruhusu UHURU wa KUABUDU?
Kama hujui uliza,kwa hiyo kwako wewe uarabu ni uislam na unajiita great thinker?ndo maana mkiona israel na palestina tu fasta mnasema piga tu hao!basi kama hujui kuna waarabu wakristo na hata huko palestina,misri,iraq nk wapo.hiyo ni sawa na kusema jumuia ya waafrika wanaoishi urusi hamna din hapo,Tanzania inaelekea kubaya sana du!pathetic
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,840
Points
1,225
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,840 1,225
Sasa hii TAASISI ya WAARABU ina Maana ni kujitenga na WAISLAMU Wengine Ambao sio WAARABU??
Huo SIO UBAGUZI wa MCHANA? na SERIKALI ya CCM inakubali na kuruhusu Sababu ya AZIMIO la ZANZIBAR kuruhusu UHURU wa KUABUDU?
Hicho ni chama cha waarab,mambo ya uislamu umeyaongezea wewe mwenyewe.Si kazi ya serikali kuwalinda waislamu dhidi ya ubaguzi wa waarabu,ni jukumu la waislamu wenyewe kujitetea kwenye hili!
 
E

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Messages
1,042
Points
1,500
E

Eberhard

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2010
1,042 1,500
Sasa hii TAASISI ya WAARABU ina Maana ni kujitenga na WAISLAMU Wengine Ambao sio WAARABU??
Huo SIO UBAGUZI wa MCHANA? na SERIKALI ya CCM inakubali na kuruhusu Sababu ya AZIMIO la ZANZIBAR kuruhusu UHURU wa KUABUDU?
Nani kakuambia kuwa waarabu wote ni waislamu? Nenda kule palestine ambako waarabu wakristo ni wengi zaidi kuliko waisalm. Kwa taarifa yako karibu nchi zote za kiarabu kuna waarabu ambao wanaofata imani ya kikrsito. Shida yako ni kutotembea tu. Hii ni sawasawa na watu wengine wanaofikiria kuwa wazungu wote ni wakristo bila kufikiria kuwa nchi kama uturuki asilimia kubwa ya wazungu wale ni waislamu. Chunguza mambo usikurupuke babu/mzee/baba/mama/binti/kijana.
 
A

AZIMIO

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Messages
188
Points
195
A

AZIMIO

Senior Member
Joined Jun 15, 2011
188 195
Hakuna cha ajabu Waarabu
kuwa na jumuiya yao kama vile Wachaga, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, au
Wahindi walivyo na jumuiya zao hapa nchini!

sasa huwezi kuhusisha Uarabu na Uislamu ndio maana hata Wachagga au
Wasukuma wana jumuiya zao zenye mchanganyiko wa watu wenye dini
mbalimbali! Hata hao Waarabu utakuta kuna Waislamu na Wakristo? jamani
tuache fitina na chokochoko!
safi sana.jibu murua kabisa.
 
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,177
Points
2,000
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,177 2,000
Wanasemaje kuhusu tz kujiunga oic?
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,434
Points
1,225
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,434 1,225
Sasa hii TAASISI ya WAARABU ina Maana ni kujitenga na WAISLAMU Wengine Ambao sio WAARABU??
Huo SIO UBAGUZI wa MCHANA? na SERIKALI ya CCM inakubali na kuruhusu Sababu ya AZIMIO la ZANZIBAR kuruhusu UHURU wa KUABUDU?
Mbona kuna taasisi za wahaya na wanyakyusa na wachaga, na wao wamejitenga na ukristo aka ugalatia ?!
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Hakuna cha ajabu Waarabu kuwa na jumuiya yao kama vile Wachaga, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, au Wahindi walivyo na jumuiya zao hapa nchini!

sasa huwezi kuhusisha Uarabu na Uislamu ndio maana hata Wachagga au Wasukuma wana jumuiya zao zenye mchanganyiko wa watu wenye dini mbalimbali! Hata hao Waarabu utakuta kuna Waislamu na Wakristo? jamani tuache fitina na chokochoko!
Kwahiyo UNA MAANA WAARABU ni KABILA? Mbona wapo waliozaliwa MWANZA na WENGINE TANGA Ina Maana hao ni kabila MOJA?

Sasa hizo JUMUIA
Ukimaanisha HIVYO ina Maana Mwislamu MSUKUMA; Mwislamu MHAYA na MWISLAMU MCHAGGA Unajua wapo hao? Hao Wapo kwenye JUMUIA za MAKABILA yao -- UNANICHEKESHA KWELI!!!
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Kama hujui uliza,kwa hiyo kwako wewe uarabu ni uislam na unajiita great thinker?ndo maana mkiona israel na palestina tu fasta mnasema piga tu hao!basi kama hujui kuna waarabu wakristo na hata huko palestina,misri,iraq nk wapo.hiyo ni sawa na kusema jumuia ya waafrika wanaoishi urusi hamna din hapo,Tanzania inaelekea kubaya sana du!pathetic
Ukimaanisha HIVYO ni kuwa Mwislamu MSUKUMA na MWISLAMU MCHAGGA

Kwahiyo UNA MAANA WAARABU ni KABILA? Mbona wapo waliozaliwa MWANZA na WENGINE TANGA Ina Maana hao ni kabila MOJA?

Sasa Mwislamu Mwenye NGOZI NYEUSI na yeye atatakiwa kuanzisha JUMUIA? Ni Sawa na KUSEMS
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Nani kakuambia kuwa waarabu wote ni waislamu? Nenda kule palestine ambako waarabu wakristo ni wengi zaidi kuliko waisalm. Kwa taarifa yako karibu nchi zote za kiarabu kuna waarabu ambao wanaofata imani ya kikrsito. Shida yako ni kutotembea tu. Hii ni sawasawa na watu wengine wanaofikiria kuwa wazungu wote ni wakristo bila kufikiria kuwa nchi kama uturuki asilimia kubwa ya wazungu wale ni waislamu. Chunguza mambo usikurupuke babu/mzee/baba/mama/binti/kijana.
Palestine sio Waarabu; - Unasema Wazungu hakuna chama cha Wazungu Waislamu tuu; Kama Waarabu
Kuna WAYAHUDI wanaoongea KIARABU sasa wao ni Waarabu?

nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Mbona kuna taasisi za wahaya na wanyakyusa na wachaga, na wao wamejitenga na ukristo aka ugalatia ?!

Kama nilivyosema hizo taasisi za WAHAYA na WANYAKYUSA na WACHAGGA; Ndani yake WAPO Waislamu wa Makabila HAYO
Mwarabu sio KABILA.. Kuna Waarabu wa YEMENI na Waarabu wa Saud Arabia Sasa hao wote ni SAWA???
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
safi sana.jibu murua kabisa.

Kwahiyo Haujui kuwa JUMUIA za WACHAGGA, WAHAYA n.k Waislamu wa Makabila hayo hawaruhusiwi Kujiunga?

F.Y.I The Arabs are not a distinct ethnic group, since there are both white Arabs and black arabs. Some of the black Sudanese Arabs claim descent ln the male line from Arabs of Mohammed's time, and may well be correct in their claim. Nor is language a sufficient criterion of Arabness since there are many Arabic-speaking jews who are not normally called Arabs. The figure of a hundred million come from the populations of the states in the Arab League. For membership ln the Arab League the primary criterion appears to be language: but, despite the presence of Lebanon, which is half Christian, this tends to be coupled with the acceptance of Arab-Islamic culture.
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
sio mbaya kuwa na jumuiya yao but iciwe politically or religiously motivated.. Kusaidiana na kusaidia jamii kwenye sekta ya elimu.. afya malazi na mengine mengi..

ARAB's is not an ETHNIC GROUP ... VIPI Waarabu Weusi wa SUDAN na Waarabu Weupe wa Saud Arabia
Au ni kujitenga hao WEUPE???
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,434
Points
1,225
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,434 1,225

Kwahiyo Haujui kuwa JUMUIA za WACHAGGA, WAHAYA n.k Waislamu wa Makabila hayo hawaruhusiwi Kujiunga?

F.Y.I The Arabs are not a distinct ethnic group, since there are both white Arabs and black arabs. Some of the black Sudanese Arabs claim descent ln the male line from Arabs of Mohammed's time, and may well be correct in their claim. Nor is language a sufficient criterion of Arabness since there are many Arabic-speaking jews who are not normally called Arabs. The figure of a hundred million come from the populations of the states in the Arab League. For membership ln the Arab League the primary criterion appears to be language: but, despite the presence of Lebanon, which is half Christian, this tends to be coupled with the acceptance of Arab-Islamic culture.
Mada ya kiswahili unajitia tia na kidhungu ! Sifa tuu !
 
K

kibananhukhu

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Messages
368
Points
195
K

kibananhukhu

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2009
368 195
Sasa hii TAASISI ya WAARABU ina Maana ni kujitenga na WAISLAMU Wengine Ambao sio WAARABU??
Huo SIO UBAGUZI wa MCHANA? na SERIKALI ya CCM inakubali na kuruhusu Sababu ya AZIMIO la ZANZIBAR kuruhusu UHURU wa KUABUDU?
How about Indians
 
Forum statistics

Threads 1,284,761
Members 494,236
Posts 30,839,002
Top