Mbunge wa CHADEMA atimuliwa nyumba za TPDC

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,343
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania siku ya jumapili waliendesha zoezi la kutimua wadaiwa sugu waliokuwa wamegoma kulipia huduma za malazi .Waliotimuliwa ni pamoja na mbunge wa cdm anaetambulika kwa jina la Owenya.Poleni sana wanazi wa cdm kwa matatizo
 
Hivi ile mihogo michungu ambayo huwa inaozeshwa na kisha baadae wanaisaga kupata unga wa muhogo ule mweusi huwa unaitwa Makupa au Makopa??
 
Owenya mdaiwa sugu, inanikumbusha Mama Lwakatare (St. Marys)na wizi wa umeme wa 10M. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kwa wananchi wanatuongoza.
 
Owenya mdaiwa sugu, inanikumbusha Mama Lwakatare na wizi wa umeme wa 10M. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kwa wananchi wanatuongoza.

Mkuu wanafiki ni wengi mno hapa Tz
 
Wewe ni mihogo mitupu kichwani you cant be a great thinker
 
Hao ndo viongozi wachadema bwana.Hata mwenyekiti wao anadiwa na NSSF na kampuni lake hewa
 
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania siku ya jumapili waliendesha zoezi la kutimua wadaiwa sugu waliokuwa wamegoma kulipia huduma za malazi .Waliotimuliwa ni pamoja na mbunge wa cdm anaetambulika kwa jina la Owenya.Poleni sana wanazi wa cdm kwa matatizo

iyo ni isembo tena tondo ling'anyi sana kofia nokelio kisewa nikyo kitewe ipyo mryonyi kulawore kindo!
 
Kama naidaiyo ni lasima luambe ,ni indi uleanze lio mkuu hamia mombasa nofaidi zaidi kimapato
 
Wewe ni mihogo mitupu kichwani you cant be a great thinker

Ukweli unauma siku zote mkuu , sifa ya kuwa great thinker ni kuwa mkweli na mkuu ,sasa kama mheshimiwa mbunge katimuliwa kuna ubaya gani watanzania wakijua kuwa tuna wabunge wa aina gani
 
iyo ni isembo tena tondo ling'anyi sana kofia nokelio kisewa nikyo kitewe ipyo mryonyi kulawore kindo!
Mm nampa pole Owenya kwa kumuuguza Baba Mzazi bila hivyo ungeshalipa deni la pango TPDC
OSOKONI leka ilahiya wandu, kipfa uichi kindo waimba'ny nokoya loi na wamfuno ipfo numba koikyo tsia tsi che eli chi onyi
 
Last edited by a moderator:

Ni loi kapisa na ngileshuhudia
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hii nchi bado watu wana mawazp mgando kuwa KUKOPA ni dalili ya uchovu. Nchi za wenzetu watu wanatumia kila mbinu ili kuweza KUKOPESHEKA...
 
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania siku ya jumapili waliendesha zoezi la kutimua wadaiwa sugu waliokuwa wamegoma kulipia huduma za malazi .Waliotimuliwa ni pamoja na mbunge wa cdm anaetambulika kwa jina la Owenya.Poleni sana wanazi wa cdm kwa matatizo

Lete hoja zenye mashiko, this is person issues
 
Back
Top Bottom