Kwa lugha ya kitaalam


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,764
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,764 2,000
inakera mno mara nyingi tumewasikia wataalam, wanasiasa,na viongozi wetu wakitumia maneno ya kiingereza kama ndio lugha ya kitaalam! utasikia mtu anasema kizuizi cha barabara au kwa lugha ya kitaalam roadblock! hv Kiingereza ni lugha ya kitaalam kweli???NAKEREKA
 

Forum statistics

Threads 1,295,821
Members 498,405
Posts 31,224,257
Top