MUHIMU SANA: Wana Jf kwa yeyote mwenye namba simu za waheshimiwa hawa anipatie

Godyp

Senior Member
Oct 20, 2011
182
56
Nahitaji namba za
Mh. Anna Tibaijuka- waziri wa ardhi
Mh. H. Mwakyembe - waziri wa Uchukuzi ambapo naweza kuwapata direct na ikiwezekana namba ya Magufuri.

kifupi ni kwamba, tumetolewa kwenye eneo la biashara kupisha ukarabati wa standi ya daladala Jamatini hapa Dodoma mjini. Katika harakati za hapa na pale kikapatikana kieneo kidogo hapa hapa stand. Mmoja kati ya waathirika nikimaanisha mwenzetu mmoja kaweka katika hicho kieneo ndipo na baadhi yetu tukapata ujasiri wa kuweka sasa hili ni eneo la Railway, sasa kuna bar inaitwa Actic bar sasa huyu jamaa anatuma kundi la watu usiku kuvunja mabanda ya watu na yeye amejigawia eneo la railway kifisadi ndo maana naomba za hawa wahusika. Ukarabati wenyewe wa standi ni ufisadi ndo maana nahitaji namba ya Magufuli katika Ujenzi.

Samahani kwa uandishi kama sjaeleweka lkn kikubwa ni Namba!
 
Jamani, kesi nyingine kama hizi ni za kumalizwa na watendaji wa mitaa na vitongoji. Kama viji-kesi vya aina hii tunavipeleka kwa mawaziri, unadhani nchi nzima ikifanya hivyo mawaziri watekuwa na kazi nyingine? Migogoro midogo imalizwe na Manispaa ya Dodoma au CDA au wenye eneo, yaani Relwe.
 
Hii nchi imeoza ww hao viongozi wa vitongoji wananjaa so wanatumika sn kwa rushwa ni bora kuwaface viongozi wa juu,kwani wao ni Mungu kwamba wako busy lazima watumike.
 
Jamani, kesi nyingine kama hizi ni za kumalizwa na watendaji wa mitaa na vitongoji. Kama viji-kesi vya aina hii tunavipeleka kwa mawaziri, unadhani nchi nzima ikifanya hivyo mawaziri watekuwa na kazi nyingine? Migogoro midogo imalizwe na Manispaa ya Dodoma au CDA au wenye eneo, yaani Relwe.

Dogo unaloliona, kwa mwingine linamnyima usingigizi. Anyway,wasiwasi wangu ni kwamba inawezekana hizo harakati alizosema mdau nazo zimekiuka utaratibu.Naye huyo jama mwenye bar ameshindwa kula na kipofu,sasa jamaa amemwaga mboga,washikaji nao wanamwaga ugali,halafu ngoma droo!

Halafu nakerwa na kauli kwamba kiongozi niliyemchagua yuko busy.Anakuwaje busy hadi ashindwe kusikiliza kero zangu?Yuko busy na nini ikiwa hasikilizi shida za watu wake?Nini kinamkeep busy sasa?!Nonsense,huh!
 
Back
Top Bottom