Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu leo nasikitika kuwataarifu kuwa Ndugu yetu Major Kilindo wa sinza kwa Remmy ( na mapambano) ametutoka leo kwa ugonjwa wa kansa Msiba uko lwao sinza mapambano Rest in peace brother Major!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
[*=center]Africa's Richest People Home 40 Rich Africans SEARCH Search by name OTHER LISTS Forbes 400 Richest Americans World's Most Powerful Women The World's Billionaires Global 2000...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma? Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu. Mwenye taarifa atujuze!
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Bado tunaendelea kutafuta sababu za kuongezeka kwa matukio ya ujambazi siku za hivi karibuni: Hebu tuangalie baadhi ya sababu hizi,na labda kuna zingine sijaweza kuzibaini: [1].Kuchelewa kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WAKUU! Kila mara namuona huyu mama yupo mbele sana kwenye shughuli za kiserikali. Hivi naye ni mtendaji wa serikali au ndivyo mambo ya Protokali zinavyo elekeza? Nifahamisheni Wakuu!!!
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo imetajwa kuwa kada wa NCCR ametoa Rushwa wakati Faustin Sungura anakemea Rushwa ya CCM: Sasa yafaa Mbatia naye achukue hatua dhidi ya rushwa hiyo angalia hapa!!!!!! NCCR yapinga rushwa muda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Written by Ashakh (Kiongozi) // 25/11/2012 // Habari // 10 Comments Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa katika gazeti la Zanzibar leo la siku ya leo limekuwa na taarifa hii kwamba kuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu Salaam, Habari za kuaminika ni kuwa mji wa Kilosa tayari umefunikwa na mafuriko kama yale yaliyoukumba mji huo mwaka jana. Imearifiwa kuwa maji hayo tayari yamezingira mji wote na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
WAISLAM WA DHEHEBU LA SHIA JIJINI DAR WAADHIMISHA SIKU YA ASHURA KUKUMBUKA KIFO CHA MJUKUU WA MTUME MOHAMMED (S.A.W). Mwenyekiti wa Msikiti wa Jamaat Shia Ithna Asheri Bw. Azim Dewji...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nani mmiliki wa hizi Appartments na Hotel zenye jina SOPHIA HOUSE?
1 Reactions
29 Replies
7K Views
MI ni shabiki wa michezo katika somasoma gazeti la mwanaspoti la leo nikavutiwa na makala yenye kichwa cha habari HUU NI MWISHO WA MR BEAN-katika kipengele cha ANA UTAJIRI WA KUTISHA jamaa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
SWALI: Kuna msanii mmoja maarufu sana alifariki siku za hivi karibuni na watu wakasema eti alitabiri kifo chake kwa kuwa alicheza filamu yenye matukio yanayofanana kabisa na yaliyotokea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
SWALI: Kuna msanii mmoja maarufu sana alifariki siku za hivi karibuni na watu wakasema eti alitabiri kifo chake kwa kuwa alicheza filamu yenye matukio yanayofanana kabisa na yaliyotokea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Habarini wanajamvi! Ni kijana wa kiume,nina miaka 23,ninasoma chuo kikuu Iringa,mwaka wa tatu sheria,kwa hali na mali natafuta sponsor, awe individual,organisation or whatever,this is serious nd i...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya Makamu wa Rais ni KUKATA UTEPE KWA KUTUMIA MKASI kuzindua Majengo mbalimbali ya serikali, Shule, Zahanati, Visima vya Maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
“Kwa kutambua hilo Mikakati ya kuboresha huduma hii ipo na kuanzia alhamisi ya Novemba 22, mwaka huu,TRL imeongeza mabehewa mawili zaidi na hivyo kuwa manane kutokana na ongezeko la abiria...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rafiki yangu (Muislam) anahitaji jina kwa kichanga chake cha siku moja kati ya majina haya; 1. Abraham, 2. Aaqil, 3. Munir Lipi achague na kwa nini unadhani ulilochagua ni bora?
2 Reactions
70 Replies
11K Views
familia yetu tumekuwa wateja wazuri saana wa tanesco tangu miaka ya 80, na tumekuwa tukilipa bili bila usumbufu, tatizo limekuja mwaka huu mwezi wa 5, nimeletewa bili ya mil 4, wakati sikuwa na...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wizi wa kutisha wa nyaya za umeme umetokea Tanga na kusababisha viwanda kadhaa na hospitali kukosa umeme. tatizo hili liko maeneo mengi Tanzania na limeathiri miundombinu ya reli, simu, madaraja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF! Natumaini week end enakwenda vjema. Vipi huyu bwana ex Tanzanian Ambassador to RSA mbona kila investment yenye mikono ya kaburu yeye lazima awe kwenye board?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom